M MICHO THOMAS BK Member Joined Jun 2, 2012 Posts 48 Reaction score 6 Sep 30, 2012 #1 Habari wana janvi mimi naomba kukutana na 1st yr wa ITA maana nataka msaada kutoka kwao.
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 Oct 1, 2012 #2 unataka msaada gani funguka ,maaana si wote ni wanafunzi wengine tu self interest with ita tunaweza kukusaidia
unataka msaada gani funguka ,maaana si wote ni wanafunzi wengine tu self interest with ita tunaweza kukusaidia
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Oct 1, 2012 #3 Hivi ungekuwa umechaguliwa havard university si ungeanzisha blogu ya alumni kabla hujajiunga? Unakaribisha utapeli, kuku mgeni hakosi kamba mguuni lakini hawiki wala kuulizia njia kila saa. Nenda chuo utayajulia huko huko
Hivi ungekuwa umechaguliwa havard university si ungeanzisha blogu ya alumni kabla hujajiunga? Unakaribisha utapeli, kuku mgeni hakosi kamba mguuni lakini hawiki wala kuulizia njia kila saa. Nenda chuo utayajulia huko huko
M MICHO THOMAS BK Member Joined Jun 2, 2012 Posts 48 Reaction score 6 Oct 1, 2012 Thread starter #4 Pa1 xana!
bibliography JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 614 Reaction score 228 Oct 1, 2012 #5 MICHO THOMAS BK said: Pa1 xana! Click to expand... hii sio facebook(pa1 xana) ndio nn?