mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Nimefungua uzi huu kwa ajili ya kupata shuhuda za wale waliofanikiwa kutoboa kwenye interview ya kwanza tu hapo PRSR. Watie moyo watu ambao wameonekana kukata tamaa!! Waeleze walijiandaaje hata kufanikisha zoezi la kupata ajira/placement kwenye jaribio lao la kwanza tu!!
Karibuni!
Karibuni!