Kwa sasa naona mfumo PRSR mitihani ya written mingi ipo katika multiple choice ( Maswali ya kuchagua) hakikisha unapitia kila kitu maana watu ni wengi hivyo competition ni kubwa sana Usiache kumtanguliza Mungu jibu maswali kwa Usahihi. Ukifanikiwa kuingia Oral huwa wanatoa dakika kumi hadi 15 za kujibu maswali yote waliyo yaandaa jibu kwa confidence, Usiwe na Uoga jibu maswali vizuri zingatia mda waliokupa kila swali huwa ni dakika 2 hadi 3 vaa vizuri.. Bahati nayo inasaidia Mi nashukuru ilikuwa interview yangu ya kwanza na ndio hio hio hadi kufanikiwa kupata kazi. All the Best wakuu karibuni kwenye utumishi wa Umma.