Wale mlioishi miji au majiji makubwa kwa miaka mingi, mliwezaje kuzoea maisha ya bush ama miji midogo

Wale mlioishi miji au majiji makubwa kwa miaka mingi, mliwezaje kuzoea maisha ya bush ama miji midogo

Mimi nikienda popote nisikose tuu chakula maji usafiri,

Issue za viwanja, mara un necessary issue nop!

Pamoja na access ya mtandao basi!
 
Back
Top Bottom