Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Unasoma ICT halafu unauliza unachosoma ni nini?ICT ni nini??
ukielewa mantiki ya huu uzi usingeni quote hivi mkuu.Unasoma ICT halafu unauliza unachosoma ni nini?
Hiyo si hata kwenye course outline si wanaandika?
πππNimekuja speed nikifikiri unamaanisha the Inner Circle Trader!
why mkuu.Most of them are always bussy 24 hrs: unless ni wale newbies
Kumbe unataka maswali mkuu πππ subiri uletewe usikimbieeNimejiweka bize nikijua kuna swali fikirishi kumbe swali la kitoto. Ngoja mwanangu atoke shule aje akujibu yupo grade three
why mkuu.
Mimi bado mbichi sana mkuu hili inabidi nikuulize ww.. naombaaj majibu mkuuNipe tofauti ya IT na ICT
kweli mkuu nafanya hivyoNi vizuri ungeuliza maswali yanyokusumbua (Darasani au wewe mwenyewe binafsi)
mkuu kwa sasa tume base zaidi kwenye hardware.Ukweli ni kwamba ICT ni pana sana hata usome miaka 100 huwezi imaliza yote ndio maana wakaamua kuigawa mafungu mawili ambayo ni:-
1)Hardware
2)Software
Kwenye hardware pia kuna sub-categories nyingi sana na ni ngumu kuzimaliza zote, vivyo hivyo kwenye software pia kuna sub-categories nyingi sana ambazo ni ngumu kuzimaliza zote.
Ndio maana kila chuo huwa wanalenga baadhi ya mitaala.
Swali langu ni;
Je, umebase upande gani kati ya software au hardware?
Baada ya hapa ndio tuendelee kukunoa mzee baba[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ukweli ni kwamba ICT ni pana sana hata usome miaka 100 huwezi imaliza yote ndio maana wakaamua kuigawa mafungu mawili ambayo ni:-
1)Hardware
2)Software
Kwenye hardware pia kuna sub-categories nyingi sana na ni ngumu kuzimaliza zote, vivyo hivyo kwenye software pia kuna sub-categories nyingi sana ambazo ni ngumu kuzimaliza zote.
Ndio maana kila chuo huwa wanalenga baadhi ya mitaala.
Swali langu ni;
Je, umebase upande gani kati ya software au hardware?
Baada ya hapa ndio tuendelee kukunoa mzee baba[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
why mkuu.
ππππ kwa maana ict ni ngumu sana..its rare for them kua free maana they always have works that never get finished plus fixing problems: then they die