Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mwamba alitisha sana pale mchiki-down kwenye namba. Mnamkumbuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hidden Agenda PropertyMwamba alitisha sana pale mchiki-down kwenye namba. Mnamkumbuka?View attachment 3202506
Mkali wa Biology alikua Mbuga huyoWakuitwa Hidden Agenda property a.k.mkali wa namba yupo pale michiki down tangu miaka ya 1995
Michikichini kuna walimu wametoa vijana wengi Sana...
1.Sureboy mkali wa chemistry
2.Wakujiita Sir Mgote...
3.Moody mnyama physics
4.Mkanda boy(Mkandawile)
5.Dah kuna mwamba mmoja nimesahau jina alikuwa mkali wa biology badae akawa anafundisha Loyola high school
Kiufupi michikichini lilikuwa kusanyiko la wanafunzi mikoa yote shule zilipokuwa zinafungwa
Mudy physics mwenyez mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amiin,...Wakuitwa Hidden Agenda property a.k.mkali wa namba yupo pale michiki down tangu miaka ya 1995
Michikichini kuna walimu wametoa vijana wengi Sana...
1.Sureboy mkali wa chemistry
2.Wakujiita Sir Mgote...
3.Moody mnyama physics
4.Mkanda boy(Mkandawile)
5.Dah kuna mwamba mmoja nimesahau jina alikuwa mkali wa biology badae akawa anafundisha Loyola high school
Kiufupi michikichini lilikuwa kusanyiko la wanafunzi mikoa yote shule zilipokuwa zinafungwa
Daah, hawa watu walinisaidia sana wakati nasoma secondary, Mbuga, moody physics na hidden, Mungu awabariki, leo hii nakaribia kufika ngazi ya juu ya taaluma kwa sababu ya hawa watu, najua moody physics ni marehemu, cjui hao wengine bado wanaendelea kupiga mzigo maana ni kitambo sana….Let’s end here at this particular juncture, and tomorrow we shall solve some more questions (In moody’s voice).Mwamba alitisha sana pale mchiki-down kwenye namba. Mnamkumbuka?View attachment 3202506
Ongereni kwa kukumbuka walimu wenu wa tuition,nadhani ilikuwa miaka ya 90's hiyo.Daah, hawa watu walinisaidia sana wakati nasoma secondary, Mbuga, moody physics na hidden, Mungu awabariki, leo hii nakaribia kufika ngazi ya juu ya taaluma kwa sababu ya hawa watu, najua moody physics ni marehemu, cjui hao wengine bado wanaendelea kupiga mzigo maana ni kitambo sana….Let’s end here at this particular juncture, and tomorrow we shall solve some more questions (In moody’s voice).