Wale mnaopenda kunywa soft drinks angalieni jinsi mnavyokunywa sukari kwa wingi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363


Sasa angalieni kiasi cha Sukari inayopatikana ndani ya Vinywaji Mnavyo Kunywa kila Siku haya...kumbuka ni chupa moja tu....kila shule inafaa hii picha iwekwe
 
Mwenye Macho Kaona
Naamini Utekelezaji
Hapo Nguvu Ipo Kwenye Maji Sana MM
 
Nakunywa Coke Zero, hiyo ni katika mazoezi ya kuacha soda kabisa hapo baadae maana kila nikijitahidi niache nashindwa
 
Miwa malaji mkubwa ... muwa mzima sh mianne tu Huku kijijin kila siku nakula mmoja. Sina kukumbuku Chai inapikwaje maaana nilishasahu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…