Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Fafanua chiefKua muafrica ni laana
Utakuwa huna mapenzi ma nchi yako😂Tokea nitenguliwe bega na FFU mpaka Sasa sihitaji kuandamana Wala kuhudhuria mikutano uchwara
Utakuwa huna mapenzi ma nchi yako😂Tokea nitenguliwe bega na FFU mpaka Sasa sihitaji kuandamana Wala kuhudhuria mikutano uchwara
umemalizia vizuri sana japo umeanza vibaya. Dawa no kuwasikiliza na kuwapa hatima ya matatizo Yao na Wala SI kuwapa majobu ya shombo kama tunayopewa hapaWajaluo watu wa ajabu sana,waroho mno wa madaraka,
Ruto awapokee kwa ukarimu na unyenyekevu, awasikilize hoja zao,awape majibu na hatima ya matatizo that's all.