the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
Leo sterling kaweka 1 + assist. Aguero x2, Sanex1, B silva x1, Foden x1 na Jesus x1Duhhh ....sterling kapiga ngapi !? Maana meals huu. ana moto balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo sterling kaweka 1 + assist. Aguero x2, Sanex1, B silva ×1, Foden ×1 na Jesus x1
the Legend☆
Hahahaa, napitaga sana mkuu, ila mara nyingi huwa kimya kimyaKumbe huwa unapitaga huku " nilidhani huwa waishia kule kwenye entertainment ... okay asante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay ... kimya kimya huwa inapendeza " ijapo kuwa mimi huwa inanishinda sometimesHahahaa, napitaga sana mkuu, ila mara nyingi huwa kimya kimya
the Legend☆
Hahaha. Mimi threads zinazohusu Simba ndo huwa siwezagi kabisa kupita kimyaOkay ... kimya kimya huwa inapendeza " ijapo kuwa mimi huwa inanishinda sometimes
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha aise - kweli kila mtu.na wazimu wakeHahaha. Mimi threads zinazohusu Simba ndo huwa siwezagi kabisa kupita kimya
the Legend☆
Ni kweli mkuu
Timu yenyewe inakaribia kushuka darajaManchester City kampiga mtu 7. Yaani Champions League imekuwa hivi!
Hahaa, sina uhakika kama Atletico kwa miaka ya hivi karibuni kuna mchezaji wasiempenda kama Ronaldo. Rekodi yake dhidi yao inatisha. Kwa mara nyingine ameendelea kuzima ndoto zao za UefaRonaldo 3-0 Atletico Madrid
Kwaiyo hajachana?Dah ningeisoma hii post nahisi ningechana mkeka.
Mkeka haujachanika nimebakiza mechi moja tu nichukue mpunga wa maana.Kwaiyo hajachana?
mpuuzi mpuuzi tu
Haaahaaha lisiwe jiniMkeka haujachanika nimebakiza mechi moja tu nichukue mpunga wa maana.
Kuna demu wa jamaa yangu Ni shabiki wa Zenit St Petersburg FL.. ......ID fake ni nzuri sana, yani hadi A Madrid siku hizi ina washabiki TZ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna demu wa jamaa yangu Ni shabiki wa Zenit St Petersburg FL.. ......
Sent using Jamii Forums mobile app