wale tulio badilishwa mtazamo na wanawake tukutane hapa

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
habarini wakuu poleni na majukumu,kama heading inavosema

nakumbuka mwaka 2002 wakati nipo form three shule moja hivi iko iringa nilikua sipendi kabisa shule kwa mwezi nlikua nikionekana shule siku tatu basi ni mungu tu kasaidia,basi kipindi iko nilitokea kumpenda binti mmoja hivi alikua ni mrembo sana according to my blessed eyes alikua msafi adi anaboa, Asa si unajua mapenzi ya kitoto yalivo nlikua natamani kumuona kila dakika asa ntamuona vp na mi shule huwa sifiki ikanibidi nianze kwenda shule kila siku ili tu niuridhishe moyo wangu, mwisho wa siku adi utoro nikaacha nikawa mwanafunzi mwema



nilikua sipendi kabisa kusali isitoshe nilikua Muslim afu yeye alikua Catholic koo vipindi vikawa vinatofautiana ila kwa sababu nilikua nampenda sana kila mda na kua na hamu ya kumuona ikanibidi nianze kuingia Roman wenyewe walikua wakiitaTYSS Kama sikosei kila siku ya dini nilikua naingia ikafika stage nikabadili mpaka dini


nilikua mchafu sana kwangu huwezi tofautisha jumatatu na ijumaa lakini kwa sababu yake nikaanza kung'aa adi viatu nikawa na brush masela walinishangaa sana

nilikua kawaida sana kitaaluma nikaanza kusoma kwa bidii kwa sababu yake

NB:yote hayo nilikua nafanya nikidhani pengine ntafikiriwa na kua wake ila sikuwai kumuelezea hisia zangu adi kesho ila kwa kifupi yeye ndo alinibadilisha
 
Ngoja niendelee kula bia yangu kwanza nakuja ninae kiu hatar yan
 
Na wanaume wengi wanakuwa smart kwa ajili ya nguvu ya ushawishi ya mwanamke
yeah ni kweli ndio maana ata Samson kwa derila alikaa ata Adam mwenyewe kwa Eva hakuluka

in short mna uwezo wa kutushawishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…