Wale tulio hustle kimziki ikaahindikana tukutane hapa

Picha Hamna broo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka hii kitu mie ilinipa sana mademu kipindi hicho daah!!
Yaani ilkua kwanza ni street rap afu kushule shule nikiwa na wana tulikuwa na jina sana! Ila wazazi ndo walikatisha ndoto yangu hasa mama alikuwa hataki kabisa hii kitu hasa baad ya kushtukia kuwa nimeshawabanjua mpka mabinti wa rafiki zake kibao tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani sana mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha...
Ila kipindi cha balehe ni kibovu saana. Unakuwa hujui la kushika.

Ukikosa mwongozo umepotea.
 
Nina iman hata jay z angekua na mtazamo kama wako tusingemfaham

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliangalia mazingira mkuu.

Kule kwao ukishakuwa mainstream basi pesa inaingia.

Huku kwetu jina kubwa lakini pakavu...afadhali siku hizi wameanza kuingiza pesa.

Rudi enzi za Juma nature...uniambie.
 
Niliangalia mazingira mkuu.

Kule kwao ukishakuwa mainstream basi pesa inaingia.

Huku kwetu jina kubwa lakini pakavu...afadhali siku hizi wameanza kuingiza pesa.

Rudi enzi za Juma nature...uniambie.
Nimekubaliana na hoja enzi hzo ilikua viaz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah braza 'i was wanted'!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"was wanted" - "wanted"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio tabia nzuri kusoma uzi halafu mnacheka kimoyomoyo [emoji16][emoji16][emoji16](nawaambia wale tu waliofanya hivyo).

Kazana bob.
Hapo kwenye picha ulikuwa booth studio gani man?

Halafu kama vipi tupia hapa hata audio 3 hivi tuone mauwezo tuwe mashabiki wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikula IV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…