Wale tulioathirika na JF( mateja)tukutane hapa tujadili

Wale tulioathirika na JF( mateja)tukutane hapa tujadili

kamituga

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Posts
1,195
Reaction score
1,933
Ukweli mchungu Ila ndio ukweli huo km umezoea kutumia jf auna tofaut na teja maana kila siku,Saa mda wote unapokamata simu unataka ujue kuna nini? Jukwaani,Imefikia stage mpaka mitandao mingine ya kijamii nimetupa kule nimepakiza JF tu. Salute kwa JF kwa kunifanya teja,
 
Mods wananionea/walinionea nilihesabu namba kwenye sredi wakanimba ban

Zero IQ
l


NaambatanisHa picha
Screenshot_20190524-122856.jpeg
 
Ukweli mchungu Ila ndio ukweli huo km umezoea kutumia jf auna tofaut na teja maana kila siku,Saa mda wote unapokamata simu unataka ujue kuna nin? Jukwaani,Imefikia stage Mpk mitandao mingine ya kijamii nimetupa kule nimepakiza jf tu .salute kwa jf kwa kunifanya teja,
Mtandao wa Quora wameonya unapojiunga"İt is addictive".mitandao au internet kwa ujumla ni addictive kikwazo ni bando tu.You tube ndio kinara wa addiction
 
Back
Top Bottom