Mtandao wa Quora wameonya unapojiunga"İt is addictive".mitandao au internet kwa ujumla ni addictive kikwazo ni bando tu.You tube ndio kinara wa addictionUkweli mchungu Ila ndio ukweli huo km umezoea kutumia jf auna tofaut na teja maana kila siku,Saa mda wote unapokamata simu unataka ujue kuna nin? Jukwaani,Imefikia stage Mpk mitandao mingine ya kijamii nimetupa kule nimepakiza jf tu .salute kwa jf kwa kunifanya teja,
Mods wananionea/walinionea nilihesabu namba kwenye sredi wakanimba ban
Zero IQ
l
NaambatanisHa picha View attachment 1119154
Kawareport na weweMods wananionea/walinionea nilihesabu namba kwenye sredi wakanimba ban
Zero IQ
l
NaambatanisHa picha View attachment 1119154
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kawareport na wewe
Kwa kunicheka umeviolate jf rules [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakula BAN kwa Kutumia EMOJI
Kwa kunicheka umeviolate jf rules [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huu ni uteja naweza kurupuka saa8 usiku natafta simu ilipo af moja kwa moja naingia jf msg na missed call zingine ni baada ya kutoka jf ndio vingine vinafuata.