Kiukweli nashukuru sana pua yangu huwa inanusa pesaa hata kama zimefichwa wapi.
Huwa napata sana shida nikipita maeneo ya benki maana harufu ya pesaa za benki mnajua kama umeshawahi nusa pesaa zilizotoka [emoji763] ATM zinavyonukia sasa hiyo ndo harufu ya pesaa.
Mtaani mtu akipita na pesaa kuanzia laki 5 pua yangu mm huhisi wingi wa harufu ya pesaa hizo.
Hata nikiingia ndani kama kuna pesa kama za Dr shika lazima nijue maana pua yangu ni special kwa kuhisi harufu ya pesaa kama panya wanaotumika kutengua mabomuu .