Wale tuliochukua shahada zetu YOHANA UNIVERSITY njooni tuyajenga hapa

Wale tuliochukua shahada zetu YOHANA UNIVERSITY njooni tuyajenga hapa

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Habari za Leo wakuu,
Najua huku kuna wenzangu tuliopitia hiki chuo kikongwe Tanzania kiitwacho Yohana University.

Hebu njooni tusemezane tujikumbusheni kidogo maisha ya campus.

Prof. gani alikuzingua sana kwenye kozi work.
 
Hivi hiyo Yohana ndiyo John.labda ni st.Johns university ile ya Buguruni Malapa
Umeambiwa Yohana wewe unaleta hadithi zako. Mkurugenzi kashakua mpaka Waziri wa Sheria huko sijui Yohana University. TPDC wapo wasomi na PhD zao kutoka University of Oslo (Norway) ghafla Mkurugenzi Mkuu toka Yohana University huyu hapa. Day One briefing wangejionea maajabu ya Mkurugenzi huyu
 
Wabongo wakipata pakukushika, wanakushikashika kweli, kwa kushikashika huku, si ajabu jamaa wavifurushi wakaja na kubwa kuliko.
 
Back
Top Bottom