A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 May 17, 2019 #21 kiri12 said: Tanesco wenyewe walitoa nafasi naona kimya hadi leo cjui walishawekana ndugu zao Click to expand... zile post za dar watu last week wametoka kufanya interview mkuu.
kiri12 said: Tanesco wenyewe walitoa nafasi naona kimya hadi leo cjui walishawekana ndugu zao Click to expand... zile post za dar watu last week wametoka kufanya interview mkuu.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 May 17, 2019 #22 wakuu MDH bado hawajaita, kikubwa ni kukazana kumuomba Mungu.
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 2,733 Reaction score 3,561 May 20, 2019 #23 Una uhakika na hii information? Aleyn said: wakuu MDH bado hawajaita, kikubwa ni kukazana kumuomba Mungu. Click to expand...
Una uhakika na hii information? Aleyn said: wakuu MDH bado hawajaita, kikubwa ni kukazana kumuomba Mungu. Click to expand...
chikha Member Joined Dec 26, 2014 Posts 12 Reaction score 11 May 21, 2019 #24 Hata mimi niliombaga mdh data mbaka leo kimya. Ila kwa ninavyo sikia sina uhakika kuwa mdh huwa wanachaguana ndani wenyewe kwa wenyewe then wanatangaza post
Hata mimi niliombaga mdh data mbaka leo kimya. Ila kwa ninavyo sikia sina uhakika kuwa mdh huwa wanachaguana ndani wenyewe kwa wenyewe then wanatangaza post