Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
kwa wale tunaokaa maghetoni.. tukutane hapa tupeane changamoto zilivyo ugumu wa hapa na pale nk.....
"mchizi kichizi "
"mchizi kichizi "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana mkuu.. macute ndo kuwadufkurunumbu ndo zetu... Me asubuhi napiga makavu.. nakula mchana na jioni muda mwengne nakulaga kwa madem tuuSipo gheto tena ila back 2009s ngoma ilikuwa ratiba ya kula. Asubuhi na usiku tu, mchana nilikuwa siujui kabisa.
Ila watoto wazuri ilikuwa ratiba daily kama mkaguzi wa hesabu za wadada kitaa
Noma sana mkuu.. macute ndo kuwadufkurunumbu ndo zetu... Me asubuhi napiga makavu.. nakula mchana na jioni muda mwengne nakulaga kwa madem tuu