Wale tuliopanga maghetoni tukutane hapa..

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
kwa wale tunaokaa maghetoni.. tukutane hapa tupeane changamoto zilivyo ugumu wa hapa na pale nk.....

"mchizi kichizi "
 
Sipo gheto tena ila back 2009s ngoma ilikuwa ratiba ya kula. Asubuhi na usiku tu, mchana nilikuwa siujui kabisa.

Ila watoto wazuri ilikuwa ratiba daily kama mkaguzi wa hesabu za wadada kitaa
 
Sipo gheto tena ila back 2009s ngoma ilikuwa ratiba ya kula. Asubuhi na usiku tu, mchana nilikuwa siujui kabisa.

Ila watoto wazuri ilikuwa ratiba daily kama mkaguzi wa hesabu za wadada kitaa
Noma sana mkuu.. macute ndo kuwadufkurunumbu ndo zetu... Me asubuhi napiga makavu.. nakula mchana na jioni muda mwengne nakulaga kwa madem tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…