Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 374
- 484
Doso lilikuwa limekolea kijana alikuwa ametingwaSomebody aanzishe uzi wa UZI MAALUMU KWA AJILI YA VITIMBWI NA VITUKO VYA TEACHING PRACTICE (Field) hasa siku ya assessment!!!!
Kuna mmoja alitoa leso mfukoni ajifutie jasho usoni, badala ajifute jasho akajikita anafuta ubao!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Somebody aanzishe uzi wa UZI MAALUMU KWA AJILI YA VITIMBWI NA VITUKO VYA TEACHING PRACTICE (Field) hasa siku ya assessment!!!!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Somebody aanzishe uzi wa UZI MAALUMU KWA AJILI YA VITIMBWI NA VITUKO VYA TEACHING PRACTICE (Field) hasa siku ya assessment!!!!
Kuna mmoja alitoa leso mfukoni ajifutie jasho usoni, badala ajifute jasho akajikita anafuta ubao!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo wengi tunaosemaga Asante Yesu sikuchaguliwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sijawahi,sitamani na Ahsante Mungu maana [emoji3526]sidhani km ningewezaa
Naam unazungumzia suma JKTJkt si ndo wale green guards.?
Ungeweza tu mbonaSijawahi,sitamani na Ahsante Mungu maana [emoji3526]sidhani km ningewezaa
Ulimiss exprience flani hivi amazing bibie jojoTupo wengi tunaosemaga Asante Yesu sikuchaguliwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mlinzi wa anga unabust na akati hufanyi kazi ngumu [emoji75]Nilikuwa D coy Danger coy
Chanja yangu pendwa
Siwela weeh amba siwele weeh aambaa sina mwingine ..mwinginee eeeh mwingine hapo naiimba navuta hisia demu wangu niliyemuacha mtaani
Na ile ya gangamale..jeshi gangamale jeshi eeh jeshi
Nilikuwa napenda ulinzi sana wa anga maana nilikuwa muhangushiaji na kiswahili cha dar mtoto wa manzese nikapata wana ma service man hapo bado mi kuruta kubast kwa sana maana mesi jikoni kuna wana
Nakumbuka kudoji poroni na kuvuta bangi
Mbaya zaidi nilikuwa k.oMlinzi wa anga unabust na akati hufanyi kazi ngumu [emoji75]
Ilikuwa Mwaka gani mkuuMbaya zaidi nilikuwa k.o
Yaani baada ya six weeks zile niliongeza nyama kwakweli
Kuna mda nikikaa huwa nakumbuka Yale maisha na kuyatamaniNilikuwa Mlale Jkt 842KJ 2015 Op kikwete hahah chenja ya bakabaka mpaka kuipata imepelekea masela kutoroka.
Nilijifunza kutokukata tamaa kuwa jasiri na kuishi kiujanja kwa kuvunja Sheria na kuwa responsible ukikamatwa umevunja sheria Ila niliteseka sababu sikuwa na hela,ukiwa na hela popote unaishi kama mfalme.
Mkuu sijawahi yatamani coz nilikaa kule nikadata matokeo yametoka nimeisahau F6 index number yangu nakumbuka ya wa nyuma yangu nadhani ni yangu kapata div2 kurudi nyumbani wananipongeza nimepata div 1 wananikumbusha niliwaachia namba yangu ya mtihani nilifurahi sanaKuna mda nikikaa huwa nakumbuka Yale maisha na kuyatamani