Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
More than 60 percent ya wanajeshi duniani kote wako jeshini as last hope kwa kuwa wamekosa michongo nje ya jeshi trust meKuna mda nikikaa huwa nakumbuka Yale maisha na kuyatamani
Kwa asikari ila kwa maofisa sio kweliMore than 60 percent ya wanajeshi duniani kote wako jeshini as last hope kwa kuwa wamekosa michongo nje ya jeshi trust me
Haikukuletea mgongano wa kimantiki kwenye kufanya application za chuoMkuu sijawahi yatamani coz nilikaa kule nikadata matokeo yametoka nimeisahau F6 index number yangu nakumbuka ya wa nyuma yangu nadhani ni yangu kapata div2 kurudi nyumbani wananipongeza nimepata div 1 wananikumbusha niliwaachia namba yangu ya mtihani nilifurahi sana
Nilianza kozi gani waniombee na chuo gani kwa matokeo mazuri niliyokuwa nayo mambo yalienda nilivyotamaniHaikukuletea mgongano wa kimantiki kwenye kufanya application za chuo
Mwisho wa Siku huna majuto mkuu nzuri sana hiyoNilianza kozi gani waniombee na chuo gani kwa matokeo mazuri niliyokuwa nayo mambo yalienda nilivyotamani