Habarini wakuu!
Kwa wale wote waliobahatika kupiga shule ya pandahill apa mdio mahali pake sema lolote na nn unakumbuka na mwalimu gani huto weza kuja kumsahau mfano mm siwezi kuja kumsahau ticha flani anaitwa BOCHU aisee ingawa mm nimesoma advance 2014 ndio nimemaliza uyo jamaa alikuwa anafundisha olevel
Aya wale wa PASEC!!!!