Wale tuliosoma Panda hill Mbeya tukutane hapa

Jux juma

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
871
Reaction score
691
Habarini wakuu!
Kwa wale wote waliobahatika kupiga shule ya pandahill apa mdio mahali pake sema lolote na nn unakumbuka na mwalimu gani huto weza kuja kumsahau mfano mm siwezi kuja kumsahau ticha flani anaitwa BOCHU aisee ingawa mm nimesoma advance 2014 ndio nimemaliza uyo jamaa alikuwa anafundisha olevel
Aya wale wa PASEC!!!!
 
Nasikia mmefungiwa kupokea form5 wapya kulikoni?
 
Ndio mbiti..unadhani uongo...watoto wa ile shule wako ivo..labda sasa kama wamebadilika
Huwezi tofautisha yupi me yupi ke..hadi uangalie uniform
hhaaaahhahaha labda miaka hii
 
Uzi wa kishamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…