project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,545
Huyu anajosahau sana naona dogo bado yupo chuoAcha uongo dogo unakumbuka thread yako hapo chini?
2019 ndio umejiunga JKT kwa mujibu wa sheria .
2020 ndio labda ulijiunga Chuo,
Sasa ndio utakuwa umeingia mwaka wa pili,
Muna mgoolge mpaka anaukimbia Uzi wakeHuyu anajosahau sana naona dogo bado yupo chuo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Shukrani, barikiwa!Sijui hata niseme nin!?
But Hongera sna Mkuu
Duh! Ila halikuwa lengo langu.Lipia tangazo aisee yaani umewatamanisha sana wadangaji.
Wewe hata ukikataa ndio ishakuwa na nimeshakuwa manager sasa.Anazingua
Hapana, ni mimi.Jamaa kaukimbia uzi
Ok, ahsante. Shida watu wanataka mpaka wajue ni sehemu gani nafanya kazi na ni manager shirika gani[emoji23][emoji23][emoji23], na ndio maana wanasema ni uongo, anyway!Debe tupu hilo
Woooow! Hongera kaka.Haya maisha muacheni mungu aitwe mungu.
Miaka 3 tu ilibadilisha kabisa upepo wa maisha, nilitengeneza zaidi ya 600m.
Katika utafutaji naamini kabisa na bahati inachangia, sikutumia nguvu kubwa sana katika utafutaji wangu na wala simjui mganga.
watu mpaka leo hawaamini mimi kuishi kwenye nyumba ya zaidi ya 200m.
Umenitonesha kidonda.Usije ukajisahau watoto wakawa Type B kama ilivyokuwa kwa wazazi wako!
Duh! Usilolijua... Malizia. Ningetaka kuwa tapeli mbona ningetapeli wengi mno tena watu wazito?Hujamaliza hata nusu mwaka tangu ujiunge JF lakini unataka kuanza uongo na utapeli. Hii thread yako unataka watu wakuombe connection maana unasema wewe ni meneja at the same time ni Mkurugenzi tena wa bodi.
Acha ushamba dogo, jiandae na September Conference. Ulidhani huku ni facebook?
Ok! Sikulazimishi uamini. Suala la kuvutwa korodani hapa si mahali pake.Huyu dogo ni tapeli kama hamjashtuka. Na juzi tu alivutwa mapumbu na mke wake kwaajili ya huu ujinga wake.
Mkuu umeelewekaWewe hata ukikataa ndio ishakuwa na nimeshakuwa manager sasa.
Inspiration.Wanajamvi nawasalimu!
Nilipokuwa chuo niliishi maisha magumu mno, mlo nilikuwa nakula mmoja tu napo ni jioni. Home hakukuwa na hela na hawakuweza kunilipia ada. Hela yote ya boom nilikuwa naigawa kulipa madeni, ada na pango, na kubakiwa na kiasi kidogo mno ambacho hunisogeza kwa siku chache tu.
Wasichana wazuri nilikaa nao mbali kwani sikuwa na cha kuwapa. Wanasema ni bora kujifanya unazo ili uwanase, ila kwangu uongo ulikuwa ni mwiko kwani aibu ya kuumbuka ni kubwa mno. Nimeshakosa tests kadhaa chuo kwa kukosa hela ya ada ila kwa uwezo tu wa Mungu nilifanikiwa.
Home hakuna hata mmoja aliyefika advance, ni mimi tu. Dada zangu karibia wote wanne walipata mimba na hawakuweza kusoma. Mmoja ameishia form four na akafeli.
Kaka zangi wawili wameishia la saba na kufeli kuingia form one.
Pata picha hapo maisha yalivyokuwa magumu. Ilifika wakati mtaani tulikuwa tunachekwa kwani tulijazana watu wengi ndani ya nyumba moja ndogo ya vyumba vitatu, na vyote uliishi humo kuanzia baba, mama, ndugu na watoto wote.
Narudi maisha ya chuo...Chuo sikuwahi kutembelea kumbi za starehe kwani sikuwa na pesa za kutosha, na ukizingatia DSM kila weekend wanachuo hufurika kumbi zote za starehe kula bata.
Nilivaa mavazi ya kimasikini japo si sana. Nilijitahidi kusoma kwa bidii na kwa uchungu mkubwa. Hakuna 'demu' yeyote aliyenipenda katika kipindi hiki, wote walinikwepa kama kinyesi. Ila sikuwa na kawaida ya kukopa kopa hela kwa watu au kulia lia shida hovyo. Kifupi nilikuwa ni masikini jeuri.
Sijui kilitokea nini ila kwa sasa ni manager katika shirika X la serikali hapa DSM, pia ni mkurugenzi wa body X ya shirika la serikali hapa DSM. Mishahara yangu yote miwili ni 8M plus marupu rupu, kwa mwezi.
Namshukuru Mungu kwa kunifuta machozi ya muda mrefu, na hayo ndiyo maisha niliyopitia chuo.
'Mungu na awaone wengj wanaopitia kipindi kigumu kwa muda huu'
Nawasilisha, karibuni tufarijiane na tukumbushane maisha haya ya uchungu.
Kwa sasa nashukuru Mungu wanangu wanaitwa WA KISHUA. Thanks lord![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nimefatilia Uzi kumbe BADO Mtoto tu no any inspiration here, acha niendelee kukaza kwenye mbishe zangu.Inspiration.
Ni kweli masikini huzaa watoto wengi mno!Perspection uliyotumia kujenga hoja ku justify umaskin ulikuwa nao back in days haina uhalisia kwa mfano unasema ulishindwa kutembelea kumbi za starehe siku za mwisho wa juma sababu hukuwa na pesa kwenda club sio hitaji muhim kukosa kwenda club haimaniishi ww maskin kuna watu wana pesa and they had never visit huko inshu ya madem pia haina uhalisia kupiga pass ndefu ndo maisha ya wanachuo walio wengi pia dhana ya kutusua ni pana zaidi hapo unaposema ww umetusua kwa mwenzio ni umaskin wa kutupwa
Ila nilichojifunza maskin wengi huzaa watoto wengi some body to test the null of this hypothical idea
Kitu cha kwanza katika msisha ni kujikwamua binafsi then the next of kin and others.Nika zani uta elezea ume ikwamua vipi familia yako pia.ila nme ishia kuona tu mshahara jeh kama una utumia wote kufanya vile ulivyo vikosa chuoni
Pole!Umenitonesha kidonda.