101 East JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 1,057 Reaction score 2,221 Jan 14, 2020 #1 Pale katika jengo la club ya Simba mtaa wa Msimbazi kwa chini kuna jamaa wamepangishwa wanafanya betting nahisi Mwenyekiti na mwekezaji pesa zake 4 billion watu wanabetia pale chini. Sent using Jamii Forums mobile app
Pale katika jengo la club ya Simba mtaa wa Msimbazi kwa chini kuna jamaa wamepangishwa wanafanya betting nahisi Mwenyekiti na mwekezaji pesa zake 4 billion watu wanabetia pale chini. Sent using Jamii Forums mobile app
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 182,097 Reaction score 1,099,383 Jan 14, 2020 #2 Gambling is a hell of a drug [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
dumejm JF-Expert Member Joined Feb 18, 2016 Posts 1,180 Reaction score 853 Jan 14, 2020 #3 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Jan 14, 2020 #4 Kwahiyo ndo kusema jamaa alichana mkeka hasira zikapanda?
Uduvi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2012 Posts 738 Reaction score 518 Jan 14, 2020 #5 Jula yako tu ya shida,sembuse kubet 4b.utabaki unazisikia tu kwenye Bomba maisha yako yote. Sent using Jamii Forums mobile app
Jula yako tu ya shida,sembuse kubet 4b.utabaki unazisikia tu kwenye Bomba maisha yako yote. Sent using Jamii Forums mobile app