Wale tuliowahi kula mbuzi nyama choma Melela tujuane

Wale tuliowahi kula mbuzi nyama choma Melela tujuane

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
2,522
Reaction score
2,651
Habari wakuu,

I hope mpoo good na mapumziko ya wiki leo ni Jumamosi kwetu tumeamka na mvua ya upepo fulani hivi.

Anyway twende kwenye mada husika hapo juu, moja ya moment nzuri ninazo zikumbuka nikiwa kwenye harakati za kujenga taifa hasa nikiwa na route ya Iringa road kuelekea Mikumi basi ni hili la kula nyama choma maeno ya Melela.

Kwa wanaolijua vizuri eneo hili mtakua mashahidi wale wamasai ni hatari kwenye uchomaji nyama ya mbuzi ki asiri kbsa, je kuna chimbo lingine la uchomaji nyama unalolijua? Share nasi.
 
Back
Top Bottom