Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

Nyie mbona hamsemi mnayowaparamia dada zenu? Ikiwa huna heshima kwa dada wa mwenzio wako ndio utamuacha?
Wewe yawezekana huna bikra zote ndo maana unaparamia wanaume,kusoma sana sio ndo unajua kila kitu.
 
Mnaleta upuuzi wa kudhadhalisha wanawake humu halafu mchekewe tu.

Asiyefundishwa na ***** hundisha na ulimwengu. Mtaipata tu, msokuwa na haya watoka pabaya.
 
Daah nimecheka sana aiseee hiki kisa.....wadada wa kazi wanapitia mapito makubwa sana....tuwaheshimu hawa Dada maana ni msaada mkubwa, nadhani mfanye kama mwanao au ndugu yako wa damu hayo yote hayawezi kutokea
 
Wewe yawezekana huna bikra zote ndo maana unaparamia wanaume,kusoma sana sio ndo unajua kila kitu.
Kujuwa kila kitu ndio huku kuja kudhadhalisha wadada wa kazi?

Mseme na mnavyoparamiana na dada zenu na mama zenu.Au mshazowea kuwaona mama na dada zenu wakiparamiwa? Kwa hiyo kwenu imekuwa ni kawaida tu, si ndio?
 
Age go acha kutuharibia uzi wetu,wengine hao house girl baada ya kunogewa tumeoa kabisa, tunachofanya ni simulizi tu,pia haya mambo sio kwamba yanatokea kwao tu ila kama hujafanya jambo hili,uzi huu haukufai.kuna jukwaa la kusifu na kuabudu.
 
Achana nayo we kunywa chai kalale
 
Mnaleta upuuzi wa kudhadhalisha wanawake humu halafu mchekewe tu.

Asiyefundishwa na ***** hundisha na ulimwengu. Mtaipata tu, msokuwa na haya watoka pabaya.
Umepiga bonge la tusi hadi mods wameweka nyotanyota
 
Daah nimecheka sana aiseee hiki kisa.....wadada wa kazi wanapitia mapito makubwa sana....tuwaheshimu hawa Dada maana ni msaada mkubwa, nadhani mfanye kama mwanao au ndugu yako wa damu hayo yote hayawezi kutokea
Ni kwl mkuu,
Lakini mdada wa kazi pia ni binadamu,
Akiwa na hamu atakwenda wapi?

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Nyie mbona hamsemi mnayowaparamia dada zenu? Ikiwa huna heshima kwa dada wa mwenzio wako ndio utamuacha?
Kama wewe unaliwa na Kaka zako basi unadhani kila mtu ana tabia kama za kwenu?

Wacha kuparamia mahusiano kwa nguvu.
Kama joto limezidi kalia hata mswaki wa mti ma**Mae.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama mzazi, hao mnaowadhalilisha ingekuwa dada zenu mngekuja kutangaza hapa wanayofanyiwa?

Au nyie ndio mliozoea nyumba ambazo kila mwanamme anaeingia unaambiwa "mwamkie baba'ko".
Mleta mada na yeye pia ni mzazi.Usidhani mzazi ni wewe pekee Yako ndo maana nikakwambia una shida ya kluger effect bila kujijua.
Mleta mada alikuwa ana jaribu kukumbushia kipindi kile ni Yuko Kwa wazazi wake nyumbani na maisha ya ma house girl.Sasa wewe Kwa kujiona kwako perfect Sasa kwamba hata ujanani hukufanya chochote,Wewe ilikuwa ni Shule na madrasa TU.Unazingua pakubwa aisee
 
Ni kwl mkuu,
Lakini mdada wa kazi pia ni binadamu,
Akiwa na hamu atakwenda wapi?

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Ukimchukulia kama ndugu yako wa damu au mwanao huyo ibilisi hawezi kujitokeza na hilo la ataenda wapi nalo halina mashiko kama unamtreat kama mwanao au ndugu yako.... maana kama Baba au Mama utaweka misingi bora ya familia yako
 
Mnaleta upuuzi wa kudhadhalisha wanawake humu halafu mchekewe tu.

Asiyefundishwa na ***** hundisha na ulimwengu. Mtaipata tu, msokuwa na haya watoka pabaya.
Kudhalilisha Wanawake!!Una elewa unacho kiandika au una andika tu kuonesha u much know wako tu.
Mwanamke gani kazalilishwa au kabakwa hapo wakati wote walio simulia wanaonesha house girl wote walikuwa Wana wapa ushirikiano watoto wa mabosi wao.Au na wewe ulikuwa ni house girl nini mbona kama ina ku pain pakubwa au house girl wako ana share upendo na Mme wako.Au unataka kusemaje Yani maana HUELEWEKI?!
 
Hakika mkuu,

Pia lengo la uzi huu ni kueleza jamii mbinu zote tuliokuwa tunatumia kwa wadada wa kazi,

Ili jamii iwe makini na Jambo hili.

Mambo yamefanyika miaka 23 iliyopita sio ya Leo..

Lakini bado yanafanywa na vijana balehe hadi sasa majumbani mwetu.

Na wala si Jambo la kujivunia Mambo yale ya balehe..

Pengine hata yeye FaizaFoxy alipokuwa balehe alikuwa anajisuguwa mbunye hata na Kona ya sofa,
ili kujiridhisha matamanio yake ya mwili kimapenzi..
Nani atamlaumu?

Akumbuke wakati wa balehe ni nusu ya uwendawazimu..

Atuachie uzi wetu pendwa.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Ukimchukulia kama ndugu yako wa damu au mwanao huyo ibilisi hawezi kujitokeza na hilo la ataenda wapi nalo halina mashiko kama unamtreat kama mwanao au ndugu yako.... maana kama Baba au Mama utaweka misingi bora ya familia yako
Mkuu hujawahi ona dada wa kazi kaolewa na boss wake?

Au kijana wa ndani kaamua kuoa dada wa kazi?

Tunakuwa nao sio kama hatuwapendi madada wa kazi bali ni kwa mapnz ya dhati kabisa.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Mimi kipindi nimeanza kazi nikapangiwa Tanga,nikapata nyumba ya uani (banda la uani kama wanavoita wao). Nyumba kubwa kuna mdada mwarabu alikua anaishi na watoto wake wadogo na mdada msaidizi (nilijuaga mdogo wake kumbe mfanyakazi maana nae alikua kama mwarabu hivi na waliishi huwez gundua ni mfanyakazi). Siku nimetoka job kama sa mbili hivi nimeingia getini naona giza hawajawasha taa hadi za nje wakati si kawaida. Ile nakaribia mlango wangu naskia mtu ananisalimia kumbe ni yule mdada kakaa barazani kwao kwenye giza. Namuuliza kulikoni giza nikajua hamna mtu akasema kaamua tu maana yuko peke yake dadaake kaenda korogwe harusini. Basi nikasimama pale tukapigapiga story (nilikuaga sina story nae ila siku hiyo ananipigisha story balaa) akanambia atakuja kuangalia tv,nikawa nishamsoma nikamwambia njoo tu mi mwenyewe ntafurahi leo kupata kampani. Nikatoka kwenda kuoga (nilikua natumia bafu la nje ambalo nayeye ndo anatumiaga maana dadaake anamaster bedroom) akanambia aje tuoge wote nikasita sababu ilikua mapema mnoko yoyote anaweza fika pale mda ule bado mapema, basi nimerudi tu kuoga nae akaja. Wala haikuwa na longolongo tukapiga game hadi asubuhi. Kesho yake dadaake akarudi,tukawa tunaendeleza usiku anaamka kwenda chooni nami naunga tela tunapiga show bafuni mchezo unaisha. Sema nilikua napata tabu kukaa macho hadi mida mibovu maana ni kipindi simu yake imeharibika so tukikubaliana j5 inakua j5 kweli kuanzia sa 6 kuendelea maana dadaake sa 3 tu analala. Siku nyingine anapitiliza usingizi haamki mzee mzima nakesha kwenye kochi ikifika asubuhi hoi job nasinzia ka nimerogwa. Basi nakasirika simsemeshi,anajiongeza usiku anakuja nigongea dirishani afu anawahi toilet mi namfuata. Siku kukiwa na mvua napigia show geto inakua haina kuogopa dada ake kuamka maana tulikua tunapigia bafuni ili ikitokea dadaake kaamka kakuta mlango wazi ye atoke kama alikua chooni. Alikujaga kuondoka badae na majeshi yakahamia rasmi kwa mwarabu mwenyewe nikaanza kumla ila ajabu mara kibao ananambia Safia alipiga simu (yule dada wa kazi) anakusalimia nikahisi aliwahi hisi kitu ananichora tu ila nikawa hata sijali. Walikua wananiita anko hadi ye mwenyewe mazeli . Mazeli alikua early 30 si unajua waarabu tanga wengi akimaliza la 7 haendelei na alikua kaolewa mke wa 3 jamaa lishamzalisha linahudumia halina time nae linakula vitu vipya na hata pale haingiagi anaishia getini anapiga honi manzi anaenda chukua hela ya matumizi jamaa linasepa dakika mbili nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…