Kakutana na mziki wa baharia,Aisee naona unamtolea hamu
Hayo matukio yapo mengi tu,ila ninachozungumzia hapa ni kuwapa heshima yao,tuishi nao Kwa upendo......kumforce sex kisa wewe ndiyo umemuajiri haikubaliki kabisa......Mkuu hujawahi ona dada wa kazi kaolewa na boss wake?
Au kijana wa ndani kaamua kuoa dada wa kazi?
Tunakuwa nao sio kama hatuwapendi madada wa kazi bali ni kwa mapnz ya dhati kabisa.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Inashangaza sn mkuu.Uki ufumbia macho una kuwaje?Uki ignore uta kuwaje?Ina kuhusu? Huufumbi macho wewe kama nani?Acha u much know wewe .Kila kitu kujifanya una kijua.Mbona thread zipo nyingi,Kwani kila thread ambayo iko public lazima utoe neno.Una kluger effect bila ya kujijua mbibi wewe.[emoji1784]
Mbona huo uzi ushaletwa humu?Pia mseme mnavyolawitiwa na ma hausi boi. Mbona hayo mnaficha?
Wewe huna uchungu wowote wala maadili yeyote kama mzazi.Mimi kama mzazi, hao mnaowadhalilisha ingekuwa dada zenu mngekuja kutangaza hapa wanayofanyiwa?
Au nyie ndio mliozoea nyumba ambazo kila mwanamme anaeingia unaambiwa "mwamkie baba'ko".
Hakika mkuuAge go acha kutuharibia uzi wetu,wengine hao house girl baada ya kunogewa tumeoa kabisa, tunachofanya ni simulizi tu,pia haya mambo sio kwamba yanatokea kwao tu ila kama hujafanya jambo hili,uzi huu haukufai.kuna jukwaa la kusifu na kuabudu.
Ungeonja mkuu,Ila mimi sijawahi kupita nao japo kuna Mmoja nilimtamani sana alafu kama alikua ana ntime hivi nijiingize sema utakatifu uliniponza
DuuhUngeonja mkuu,
Halafu usiku wanakuwaga na kaharufu fulani hivi
Ukiigusa huachi [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Mkuu wewe ni hatari sn,Mimi kipindi nimeanza kazi nikapangiwa Tanga,nikapata nyumba ya uani (banda la uani kama wanavoita wao). Nyumba kubwa kuna mdada mwarabu alikua anaishi na watoto wake wadogo na mdada msaidizi (nilijuaga mdogo wake kumbe mfanyakazi maana nae alikua kama mwarabu hivi na waliishi huwez gundua ni mfanyakazi). Siku nimetoka job kama sa mbili hivi nimeingia getini naona giza hawajawasha taa hadi za nje wakati si kawaida. Ile nakaribia mlango wangu naskia mtu ananisalimia kumbe ni yule mdada kakaa barazani kwao kwenye giza. Namuuliza kulikoni giza nikajua hamna mtu akasema kaamua tu maana yuko peke yake dadaake kaenda korogwe harusini. Basi nikasimama pale tukapigapiga story (nilikuaga sina story nae ila siku hiyo ananipigisha story balaa) akanambia atakuja kuangalia tv,nikawa nishamsoma nikamwambia njoo tu mi mwenyewe ntafurahi leo kupata kampani. Nikatoka kwenda kuoga (nilikua natumia bafu la nje ambalo nayeye ndo anatumiaga maana dadaake anamaster bedroom) akanambia aje tuoge wote nikasita sababu ilikua mapema mnoko yoyote anaweza fika pale mda ule bado mapema, basi nimerudi tu kuoga nae akaja. Wala haikuwa na longolongo tukapiga game hadi asubuhi. Kesho yake dadaake akarudi,tukawa tunaendeleza usiku anaamka kwenda chooni nami naunga tela tunapiga show bafuni mchezo unaisha. Sema nilikua napata tabu kukaa macho hadi mida mibovu maana ni kipindi simu yake imeharibika so tukikubaliana j5 inakua j5 kweli kuanzia sa 6 kuendelea maana dadaake sa 3 tu analala. Siku nyingine anapitiliza usingizi haamki mzee mzima nakesha kwenye kochi ikifika asubuhi hoi job nasinzia ka nimerogwa. Basi nakasirika simsemeshi,anajiongeza usiku anakuja nigongea dirishani afu anawahi toilet mi namfuata. Siku kukiwa na mvua napigia show geto inakua haina kuogopa dada ake kuamka maana tulikua tunapigia bafuni ili ikitokea dadaake kaamka kakuta mlango wazi ye atoke kama alikua chooni. Alikujaga kuondoka badae na majeshi yakahamia rasmi kwa mwarabu mwenyewe nikaanza kumla ila ajabu mara kibao ananambia Safia alipiga simu (yule dada wa kazi) anakusalimia nikahisi aliwahi hisi kitu ananichora tu ila nikawa hata sijali. Walikua wananiita anko hadi ye mwenyewe mazeli . Mazeli alikua early 30 si unajua waarabu tanga wengi akimaliza la 7 haendelei na alikua kaolewa mke wa 3 jamaa lishamzalisha linahudumia halina time nae linakula vitu vipya na hata pale haingiagi anaishia getini anapiga honi manzi anaenda chukua hela ya matumizi jamaa linasepa dakika mbili nyingi.
ikiwa wewe umefanya hayo nyumbani kwako unategemea nini hao vijana wasiyafanye kwako?Hakika mkuu,
Pia lengo la uzi huu ni kueleza jamii mbinu zote tuliokuwa tunatumia kwa wadada wa kazi,
Ili jamii iwe makini na Jambo hili.
Mambo yamefanyika miaka 23 iliyopita sio ya Leo..
Lakini bado yanafanywa na vijana balehe hadi sasa majumbani mwetu.
Na wala si Jambo la kujivunia Mambo yale ya balehe..
Pengine hata yeye FaizaFoxy alipokuwa balehe alikuwa anajisuguwa mbunye hata na Kona ya sofa,
ili kujiridhisha matamanio yake ya mwili kimapenzi..
Nani atamlaumu?
Akumbuke wakati wa balehe ni nusu ya uwendawazimu..
Atuachie uzi wetu pendwa.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Hayo kafanya dada'ko na mama'ko. Waliwatupa wale waliowapata ulipowanyatia.Wewe huna uchungu wowote wala maadili yeyote kama mzazi.
wale viumbe uliowatanguliza kwa kuwatupa chooni wakati wa usichana wako bado utasema ni mzazi mwenye uchungu?
na maadili?
Wewe ni muhuni Mzee unayetafuta vijana kwa nguvu.
Wachana na nyuzi za watu ma*Mae
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Wewe hawajakula? Sema kweli bana.Mbona huo uzi ushaletwa humu?
Jinsi house boys wanavyokula mbunye za boss zao wa kike?
Au uzi ulipofunguliwa hukuwa na bandle?
Wacha kuvamia geto la vishandu wa bodadoda uchi.
Zitakazoumia ni sehem zako za Siri sio kingine *ma**mae
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Wewe ndio wakunipangia majukwaa, we poyoyo nini?Inashangaza sn mkuu.
Kama yeye so wa jukwaa hili panamuhusu nini jukwaani?
FaizaFoxy stress za kunyatiwa na vijana uzeeni mbaya sn.
Awachane na uzi pendwa.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Tupe kisa cha kwako cha mimbaAjabu ya hizi shuhuda zenu zote humu, hakuna hata mmoja alietia mimba, Wakati sifa ya mabeki Tatu wengi kuwa vizazi vyao viko karibu, na wala hakuna aliepata magonjwa ya zinaa!. Sijaona aliesema katumia Condom!
Pia ukizingatia kwa maelezo yenu asilimia kubwa mliotoa ushuhuda humu mlikuwa under 15, kwa Maana hamkuwa na elimu ya safe sex
Ina maana Hao mabeki Tatu wote walikuwa Tasa, na walikuwa safe?
Kuna watu watakuambia hii ni chai.
Na kuna wengine watakuomba namba na wengine picha ya Mysara.
EPISODE 1.
Nakumbuka zamani enzi nasoma secondary,
home kila akiletwa house girl mpya lazima nimnyatie nimle kwa gharama yeyote ile.
Sijuwi sababu ya domo zege au ni nini?
Ilikuwa sipitwi nipo radhi hata nijifiche nyuma ya mlango mradi usiku nimle.
Awe kalala au yupo macho.
Basi kuna kipindi fulani mpangaji wetu alileta house girl mpya kutoka kondoa.
Binti wa kuitwa Mysara,
mtoto wa kisandawe Mysara alikuwa mweupe, .
Mrefu,
Shepu nzuri,
mwenye macho makubwa.
Mysara alikuwa mzuri haswa, alikuwa na umri kama 20 hivi.
Mtoto alikuwa kakamilika kila idara. Alikuwa na sifa zote za kuwa mke wa mtu.
Hakika house girls wa zamani sijuwi siku hizi wamepotelea wapi.
Zamani dada wa kazi ni warembo haswa, halafu wakubwa.
Wanajielewa.
Basi vijana na wazee walikuwa wanafukuzana kumpata Mysara.
Na Mimi nilikuwa kama na umri kama 19 hivi kwa kipindi hicho.
Nikasema kwenye msafara wa mamba na Mimi kenge lazima niwemo.
Ngoja nimuwahi kabla manyang'au hayajanizidi kete.
Mysara alikuwa akilala chumba cha peke yake. So kumnyatia usiku haikuwa issue kubwa.
Kwanza ilibidi kuzoeana na Mysara japo kidogo ili nipate urahisi wa kumpata kiulaini.
Nikaanza kumsomesha kila tukionana ,,
Mara namfata sokoni, akawa anagoma goma.
Siku moja anakwenda dukani, nikamfata tena nikasomesha, Alinielewa kiasi,
Akanambiya "njoo usiku tuongee lakini hatufanyi chochote."
Nikasema ,"powa,"
Nikazama geto kwake mapema kama saa 5 usiku hivi.
Nikaanza kumsomesha mtoto anipe mbunye.
Mtoto hanielewi.
Sijamaliza kumsomesha vizuri, Mara mlango unagongwa,
ikabidi niingie uvunguni mwa kitanda nijifiche kwanza.
Mara kaingia jamaa,
kumbe naye anasomesha apewe mbunye.
Dah! Jamaa kasomesha lakini yule mtoto akawa hamuelewi yule jamaa.
Sasa sijuwi sababu Mimi nipo mle au ni vp?
Lakini namsikia Mysara akimwambiya yule jamaa
."Leo haiwezekani,,""nipo kwenye siku zangu"
Jamaa alizidi kulazimisha apewe mbunye.
Baada ya dk kadhaa ya mabembelezano,
Mara mlango unagongwa tena,
Aliyekuwa anagonga ni jamaa ambaye ndiyo boss wake Mysara.
Sijuwi anafata nn mida hii,
sikupata majibu.
Jamaa aliyekuwa na Mysara baada ya kusikia hodi akakimbilia uvunguni.
Dah!
Kumbe ni baba yngu mdogo ndy aliyekuwa na Mysara akiomba mbunye.
Nilipomuona ni yeye nilitamani kucheka nashindwa,
nikabaki nimeshangaa.
Basi hatukuwa na haja ya kulaumiana au kuulizana chochote tukabaki kimya tu.
Tunatazamana kama majogoo.
Kikapita kimya kidogo hapo chumbani watu kama wananong'onezana.
Kumbe yule boss nae anaomba mbunye kwa Mysara.
Hata sijuwi alitokaje kwa mkewe mida ile saa 6 usiku.
Jamaa naye akaanza kumshikashika Mysara. Mara nipe mbunye. Mara vile,
Mysara akawa anakataa "Hapana namuogopa dada" ",
Dada yako kalala hawezi kuja humu" Boss alisisitiza.
Dah!
Madada wa kazi wanapitia kipindi kigumu sn.
Basi kama dk 10 hivi za boss kuomba mbunye,
mlango unagongwa tena.
Tena safari hii unagongwa kwa nguvu.
"Mysara funguwa mlango"
Alisikika mke wa boss. .
Ghafla boss nae tupo nae chini ya uvungu,
tumejificha.
Kumbe mke wa boss alikuja kutafuta pasi kwa ajili ya kuandaa nguo za kazini.
Nikashangaa muda ule na pasi wapi kwa wapi?
Zote zilikuwa janja janja na wivu tu wa yule mama.
Maana maboss wakiona dada wa kazi kanona hawaishi wivu.
Basi tulijikuta watu watatu chini ya uvungu wa kitanda pamoja na boss wa Mysara bila kupenda.
Hakuna mtu aliyemsemesha mwenzie, ni kimya tu.
Baada ya yule mama kuondoka mle ndani.
Kazi ikawa jinsi gani tutaondoka mle.
Nani ataondoka mwisho mle ndani?
Maana kila mtu aliona atakayebaki mwisho huenda ndy akala mbunye ya Mysara.
Alianza kutoka boss
Akafata Baba mdogo,
Mimi nilitoka mwisho lakini baada ya kusumbuliwa Sana na hawa jamaa nitoke humo ndani.
Kumbe walikuwa wapo uani wahakikishe natoka ndy na wao wakalale.
Kesho yake fully kununiana.
Shikamoo hazikujibiwa miezi 2.
Kuanzia hapo baba mdogo akanipa sifa mbaya ya mtoto mkorofi lakini ukorofi wangu watu hawauoni.
Kama na wewe uliwahi kumla dada wa kazi au kukoswakoswa kudakwa tukutane hapa.
Aisee wanaume tunateseka sana kwenye harakati za kusaka mbususuHii ilimtokea bro wangu kwenye nyumba ya kupanga akawa anamnyatia beki tatu wa jirani usiku mnene. Kipindi icho kulikua na shida sana ya maji kumbe jirani kakinga maji kwenye ndoo, mabeseni nk kayapanga koridoni. Sasa bro na giza lile haoni saa ngapi hajaparamia beseni la maji lilikokua juu ya ndoo vyote vikaporomoka na yeye juu..! Aisee ilikua mshikemshike maana maji yametapakaa nyumba nzima watu wameamka bro karudi room yupo chepechepe..
Age go unatumia tango size gani?Hayo kafanya dada'ko na mama'ko. Waliwatupa wale waliowapata ulipowanyatia.
Nyie ni watu wa aina ipi dunia hii? Mnafanya maovu halafu mnajisifia kama vile mnayafanya ya maana sana.