Siku moja ghafla tu beki 3 wetu anamuaga mama anataka kwenda kwao kusalimia wazazi
Nyumbani tukamruhusu tukiamini atarudi kama alivyoahidi.Siku zikapotea beki 3 hajarudi mpaka tukatafuta mwingine
Baada ya kupita miaka kama 3 mitatu hv yule beki 3 alitinga home akiwa na kitoto.
Anamwambia maza nimekuletea mjukuu wako, maza akashangaa sana.
Ikabidi amuulize vizuri ni mtoto wa nani maana hapo home boys tulikua wawili mimi na braza angu.( Lkn siku hiyo ya ujio wa beki 3 wote tulikua hatupo home, me nipo school boarding napiga advance level na bro nae yupo mkoani kaenda kujitafutia)
Sasa cha kushangaza yule beki 3 kamtaja kaka etu mmoja mtoto wa ma mkubwa. Cha ajabu zaidi yule kaka etu wala alikua haishi hapo nyumbani na kuja kwake ni kwa nadra sana.
Kumbe kipindi kile maza alipokua akienda kazini na sisi kwenda shule yule kaka alikua anakuja home anashinda mchana kutwa akimbandua yule beki 3 mpaka walipotiana mimba [emoji3].
Maza alipojua wanawe hatuhusiki akashusha pumzi kushkuru, akamuelekeza yule beki tatu alipo yule kaka akamwambia nenda mkamalizane
Sent from my SM-A105F using
JamiiForums mobile app