squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Habarini.
Leo nimepita Makongo Secondary School na kuona lile DCM lao likiwa limepaki pale nje.
Limenikumbusha mbali sana miaka ya mwishoni mwa tisini na mwanzoni mwa 2000s. Lilikuwa likitusomba wanamichezo wa Makongo.
Mpaka leo ukiliona pale nje bado liko poa kimuonekano.
That brings back memories. Nilimtongozaga hata Suzie siti ya nyuma, akakubali ila eneo la tukio hakutokea.