squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Habarini.
Leo nimepita Makongo Secondary School na kuona lile DCM lao likiwa limepaki pale nje.
Limenikumbusha mbali sana miaka ya mwishoni mwa tisini na mwanzoni mwa 2000s. Lilikuwa likitusomba wanamichezo wa Makongo.
Mpaka leo ukiliona pale nje bado liko poa kimuonekano.
That brings back memories. Nilimtongozaga hata Suzie siti ya nyuma, akakubali ila eneo la tukio hakutokea.
Suzie alikua mjanja mjanja sanaHabarini.
Leo nimepita Makongo Secondary School na kuona lile DCM lao likiwa limepaki pale nje.
Limenikumbusha mbali sana miaka ya mwishoni mwa tisini na mwanzoni mwa 2000s. Lilikuwa likitusomba wanamichezo wa Makongo.
Mpaka leo ukiliona pale nje bado liko poa kimuonekano.
That brings back memories. Nilimtongozaga hata Suzie siti ya nyuma, akakubali ila eneo la tukio hakutokea.
Miraji, dah! Huyu jamaa kanilimisha kwenye madimbwi enzi hizo kando kando ya barabara ma yuniform juu, Bila kumsahau BABU. hivi nae yupo?Ila Ile shule ilikuwa shule kipindi cha kipingu,tulianza form one watu kama 800+,Ila tulimaliza 400+ form four..r.i.p miraji,ulinyoosha sana vijana mpaka wakakaa kwenye mstari. Afande yeyeye alikimbiza sana wazee wa chimbo na gari yake Ile.master mwenyewe,mzee wa kukwambia beba Dunia dogo,hapo utapiga push up za kutosha,alishanidaka sehemu,akaniambia ning'oe mti,mwarubaini mkubwa tu pembeni ya maktaba.ukidakwa Na kisarika au master mnamalizana papo hapo,kuna mshkaj alishachotwa mtama Na kisarika,hatasahau.
Limepaki tu pale nje sijui kama latembea.Hahaha lile gari bado lipo?, tycs tulikua tunapanda kwenda Don Bosco kusali.
Limepaki tu pale nje, nadhani bovu.Bado linatembea kweli?sijawahi kulipanda lile gari aisee...
nadhani yupo,mara ya mwisho kumsikia ni 2012 nadhani,alishastaafu.babu chacha...nilisoma Na mwanae pale.Miraji, dah! Huyu jamaa kanilimisha kwenye madimbwi enzi hizo kando kando ya barabara ma yuniform juu, Bila kumsahau BABU. hivi nae yupo?