kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
Habari wapendwa,
Hapa nawazungumzia wale tulioshindwa kufaul mtihani wa kidato cha nne kwa miaka ya 2010-2015 na kuingia mtaani kusaka chapaa.
Lengo nikuwapa hamasa wale waliofaulu kwenda vyuoni na kisha kurudi mtaani huku wakitegemea kupata ajira kwa wakati.
japo kipindi wamefaulu walitudharau sana, mara nyingi sisi ndo tulikuwa tukiwapigia simu, badae mawasiliano yakakata kabsa.
Leo hii tuko nao mtaani wanaomba tuwape connection maana tushazoea kuhustle .
Mida fulani nilikuwa na mshikaji wangu wa kitambo sana tulitengana ye alivyoendelea na masomo mi nikaingia kitaa.
Leo nipo nae hapa anadai amechoka kukaa kwa wazazi wake, anakula chakula cha shikamoo, anatamani apate kazi ya kuingiza hata sh1000 kwa siku.
KITAA INALEA KITAA INAFUNZA.
Wellcome