Wale tuliowahi kupata zero form four na sasa tunamudu maisha tukutane

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,058
Reaction score
3,613
Habari wapendwa,

Hapa nawazungumzia wale tulioshindwa kufaul mtihani wa kidato cha nne kwa miaka ya 2010-2015 na kuingia mtaani kusaka chapaa.

Lengo nikuwapa hamasa wale waliofaulu kwenda vyuoni na kisha kurudi mtaani huku wakitegemea kupata ajira kwa wakati.

japo kipindi wamefaulu walitudharau sana, mara nyingi sisi ndo tulikuwa tukiwapigia simu, badae mawasiliano yakakata kabsa.

Leo hii tuko nao mtaani wanaomba tuwape connection maana tushazoea kuhustle .

Mida fulani nilikuwa na mshikaji wangu wa kitambo sana tulitengana ye alivyoendelea na masomo mi nikaingia kitaa.

Leo nipo nae hapa anadai amechoka kukaa kwa wazazi wake, anakula chakula cha shikamoo, anatamani apate kazi ya kuingiza hata sh1000 kwa siku.

KITAA INALEA KITAA INAFUNZA.


Wellcome
 
Elimu ya bongo ishakuwa ya kidwanzi...vijana tusome na tufanye biashara
 
Ujua ukisogea masom ya juu kama chuon mzeee kunabana mwishowe mnalau Sana. Hata msivyovijua acha tuu www hujui tuu hal ikoje huk
 
Kufeli shule si kufeli life, ila elimu ni muhim sana kwa binaadam yyte katika mfumo wake wa maisha
 
Hongera mkuu lakini usiwahamasishe kuwa kufail ni ujanja na jambo la kujivunia. Elimu zamani ilikuwa ufunguo wa maisha siku hizi ni probability ya maisha
 
Kufeli shule si kufeli life, ila elimu ni muhim sana kwa binaadam yyte katika mfumo wake wa maisha
mkuu sijasema wamefeli maisha hapana,ila najaribu kutolea maelezo kwa maisha ya sasa kuw wasitegemee sana ajira kipind hiki,wajaribu kujichanganya mtaani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Basi tu ila ss ambao tupo shule tupo fair sana ila watu wa kitaa ndo wanajitenga na sis .....af wanasema tunajickia
 
Umenikumbusha mwamba mmoja alikuwa anashika mwisho kila paper ila baada ya kumaliza baada ya mwaka nakutana naye mwamba ana mbuzi zisizopungua 50 moyo uliniuma
 
Koo. Swala la kusem wahuni walikusahau sioo kam. Unavyodhani na alafu ety unasem. Wamekuja kuta umetoboa kumbuka pesa inamwanzo na mwisho

Mkuu, we upo upande gani kwanza, wa kitabu au kitaa? Maana michango yako haieleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…