Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Asalaam wana JF!
Binafsi huwa napata wakati mgumu kwenye vikao maeneo mbali mbali hasa kwa tahadhari ya kupunguza negative people. Huwa natafakari faida na hasara za kuchangia ama kutochangia maoni kuhusu jambo husika.
Natulia kimya nafuatilia kwa umakini nachukua notes ila natumia code za kilatini.
Nikilazamishwa naomba udhuru dakika 2 mbili short call, nikirudi natumia Kimemia principle what others had to say, naafiki maamuzi ya kikao ndio imetoka hiyo.
Nahamia kwenye kanuni na miongozo zigo kwa mwenyekiti
Vipi nyie wengine mnalinda vipi interests au Image zenu?