Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

Mwenzetu wewe haupo kwenye mawazo ya tarehe 17 wala kodi...maisha ni vidole hayawezi kufanana...
Wanasema asiye kujua akikuona barabarani anakujaji kwa muonekano wako.. ila natamani ungejua maish niliyo kulia nahata sasa una weza niona nina kazania kitu ambacho labda wewe huna ila kumbe wewe una mengi ambayo mimi sina.. mafano hapo una gusia ada za januari wakati mimi naumri huu sina mtoto na sinafuraha kwenye eneo hilo na umri huu.

Kama una baraka ya watoto na mke wwngine hatuna natuna 33yrs ila hatuna mke wala mtoto na kwenye eneo hilo hakukai sawa kabisa kumeshindikana.. sasa nikuulize ikiwa una mtoto na mke uambiwe unipe mimi hiyo mke na mtoto alafu mimi nikuachie nyumba hii ninayo jenga utakubali?
 
Wanasema asiye kujua akikuona barabarani anakujaji kwa muonekano wako.. ila natamani ungejua maish niliyo kulia nahata sasa una weza niona nina kazania kitu ambacho labda wewe huna ila kumbe wewe una mengi ambayo mimi sina....
Akikujibu bila essay niite nije kuona hayo majibu yake.
Yaani aseme tu NITAKUBALI au SITOKUBALI
 
Wanasema asiye kujua akikuona barabarani anakujaji kwa muonekano wako.. ila natamani ungejua maish niliyo kulia nahata sasa una weza niona nina kazania kitu ambacho labda wewe huna ila kumbe wewe una mengi ambayo mimi sina....

Ulichosema ni kweli, huyu anapewa hiki huyu ananyimwa hiki… all in all God is Good. Humpa mja wake kwa wakati wake. 33yrs old bado Mungu atakupa wa ubavu wako in his right time
 
Hebu kwa 80m lete mchanganuo maana kuna mdau kaambiwakama hyo sio chini ua 200m
boma tu itafika hio ila sio na finishing ile ya final
kitachokula hela kwanza msing wake.nondo zitaenda za maaana,halalf jamv lichekechwr na mashine listop wekk 3 zije nguzo nazo zisetiwe zimiminwe zivekwe majunia zimwagiwe angalau wek 3 aje slab la juu nalo sion hio 80 kama itatosha na huo mwez mmoja hautosh
 
Mkuu hapo kwenye sawala la kuto pata mtoto wala isikuhunishe sana umesahau nabii wa Mwenyezi Mungu amabaye anaitwa Zakaria alikuwa anahuzunika kuhusu mtoto akabarikiwa mtoto ambaye anaitwa Yahaya.

Kuhusu kubadirishana HALIWEZEKANI.

Wacha nikupe hongera tu ila muda wako utafika utao na utapata watoto Inshaallah.

Hakika penye uzito upo wepesei.
 
Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.

Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi...
Kazana mkuu ujenzi wa mdomdo ni mzuri utamaliza na utajenga kitu imara na kizuri
 
Mimi nimeanza leo kwa kupita kwa wauza matofali, Nimechagua tofali zangu 5000 fundi wangu akazikagua ubora nikalipia.

Tukapitia Kwa wauza Kokoto JKT nimelipia Lori 2 nyeusi...
Vyumba vingapi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…