Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

Kaka sina pakuwekasite haina hata uzio.. unataka nikarundike hapo ziibiwe?? nyumba inataka nondo 130 kwako unataka nikanunue zote nijaze site?? kwani zinasukwa zote kwa siku moja??

Kwani mkuu una ID mbili?
 
Hongera mkuu, ukifika kwenye gypsum, kama utaweka gypsum nicheck 0713744842

Nina kiwanda cha mikanda, Kona na Maua ya Gypsum utapata Kwa bei ya kiwandani na tunakuletea ulipo.
Tupo Kibamba
 
Aiseeee.....
 
Mjengo wa maana huu. Dah hamna tender za concrete mixer mzeya nikakukodishia?

Hii ni kujenga tu bos hapo hakuna finishing
Karb sana jiran me pia nimejenga hapa mwisho wa lami [emoji120]
 
Mkuu tafuta fundi mwingine pia akupe hesabu pia. Mimi mwenyewe nilikuwa najenga maeneo hayo ya mbweni mpiji, fundi alinipa hesabu ya mifuko 405 ya cement nikawaza sana kama wewe. maana hakukuwa na uhalisia wowote. Nikapewa fundi mmoja hivi ni babu mtu mzima hiv akanipigia hasabu ya mifuko 245. Mungu saidia niliwapata mafundi wazuri NIKAWABANA na ikabaki mifuko 7.
 
2022
Mchanga wa tofari trip 6
Cement 25bags
target msingi tofari 900
 
Nina ramani inafanana na yako kwa maana ya chumba kimoja delux juu. Tathmini ya msingi nje ya tofali,kokoto na mchanga nimeambiwa ni 10m.
Kwako tathmini yako ikoje?
Na pesa ya ufundi imegawanyikaje ??
Nipe tips inisaidie kubargain
 
Habarini wakuu, mukihitaji ramani nzuri msisite kututafuta kwa 0715477041, pia mwaweza tembelea link hii kujionea baadhi ya kazi zetu

 
Bati gani unatumia? Nyeupe au? Mbona gharama za kuezeka ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…