Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

Usiogopeshwe na hesabu za humu... We anza tu we anzaa nasemaje we anzaa, kuna watu wanamichango mizuri wengine katisha tamaa tu
Sure kabisa mwaka jana nilianza ujenzi may by December nyumba ilisha yote kwa 98%

Kuna kutishana sana humu ndani kuhusu ujenzi
 
Wanaojenga hawaongei ila nyie mnaongeja mabanda ya kuku ndo kelele kibao ad mnaanzisha na uzi kabisa

Tafuta pesa kua na pesa kila kitu utakiona cha kawaida nyumba moja unaongea Jf nzima
Usikute huns hata chumba saizi ya choo seuze kiwanja kabisa

Na usikute unaishi kwa dada yako nyumba ya shemeji yako dada yaki akigegedwa sauti unaisikia night[emoji2][emoji3577]

Fala sana
 
Nimejenga nyumba vyumba 3 na makorokoro yote yameisha na nilihamia 2017, kwa Sasa najenga chumba master idad vyumba 3 hapa hapa nilipo
 
Wakubwa bei za bati alaf versatile na romantile bei gan I kwa sasa
 
Kabla hamjaanza zingatia hayaa...
Price inflation in construction!
1. Cement -twiga 13% increase
2. Nondo- 10mm - 39% increase
3. Nondo -12mm -25% increase
4. Bati za kawaida - 21% increase
And many more
I agree price volatility is a thing but these are not sustainable!
% are according to Arusha prices
 
Nimekua interested mimi pia ni Engineer by proffesion,, naweza kufika site kwako huenda nikakupa moja mbili ukapata kitu,, “just for free”
 
Tunauza mbao kwa bei za jumla
2*4 fut 12=4400
2*4treated fut 12=4800
1*6 fut 12 = 4400
1*8 fut 12= 8500
1*8 ya fisherboard=9500
1*10=13500
1*10 ya fisherboard= 15000
2*2treated fut 12=2500
2*2 fut 12=2300
2*4treated fut 18=9500
2*6 fut 12=8500
2*6treated fut 18=16000
2*2treated fut 18=5000
2*3 fut 12=3500
1*4 fut 18=4000
1*4 fut 12=2500
Tunafanya delivery popote ulipo kwa Dar-es-salaam ,tunapatikana kwa namba hizi hapa 0759630751,
0654830416,
0687371138
vile vile huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu ..
Ofisi zetu ziko Mbuyuni -Bagamoyo road
 
Mabango na vibali vyote unavyo jamaa wa mtaa watakuhomea mkuu
 
Mkuu hiyo nyumba itakugharimu si chini ya milioni 200.
 
I dont care, hivyo ndivyo nilivyo kuta wenyeji wangu wanakuita.. So Upo OP kwa hoja za Uzi huu.. Kama una umia sana kwa Holo Jina Tuna weza pia kupaita Jina l sehemu za siri za Mama yako ili upate kumbukumbu yake ata akisha aga dunia.
Mkuu acha kutumia maneno makali unamtukanaje mtu hivyo we mama yako hana hizo sehemu
 
Jamani naombeni ushauri wa kuweka mazingira sahihi ya floor mpaka kukutana na tiles yaani chini bado sijapafanyia chochote. Sasa fundi ananiambia nitandike zege, kisha rough floor kisha nyingine ndo ije tiles. Sasa mi naona kama gharama zitakuwa kubwa nini kifanyike hapo.
 

Kwa uzoefu wangu mdogo, mwaga zege ila hakikisha tu linakuwa level then zinafata tiles hamna haja ya rough floor.

Mara nyingi rough floor wanaweka watu wanaotaka kuhamia kwa nyumba kabla ya kuwekwa tiles ili kupunguza vumbi la zege.
 
Kwa uzoefu wangu mdogo, mwaga zege ila hakikisha tu linakuwa level then zinafata tiles hamna haja ya rough floor.

Mara nyingi rough floor wanaweka watu wanaotaka kuhamia kwa nyumba kabla ya kuwekwa tiles ili kupunguza vumbi la zege.
Ahsante sana, wastani mzuri wa zege ni inch ngapi.?
 
Mwaka huu nami nitajenga nyumba, isiyopungua 250m
Kila kitunkitawekwa hapa. Stay tuned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…