Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kwa hapa JF huwa kuna utaratibu wa members kuchangia mada inapowekwa hapa Jukwaani.
Majukwaa yapo mengi ukiachana na yale ya kitaalam Kama Sheria , tech na maengine yapo majukwaa ambayo yanahitaji uelewa wa kawaida tu. i.e General Knowledge.
Sasa kuna members ambao ni maarufu huchangia mada katika majukwaa yote na kutaka kauli zao zitafsiriwe kama sheria.
Huwa najiuliza hawa members wana elimu gani maana wana utaalam wa kila jambo.
Au ndio ku-Google sana.
Maana haiwezekani mtu akafahamu kila kitu.
Binafsi nachangia mada kwenye majukwa yale tu ambayo ufahamu wa kawaida unatosha.
Sasa hawa wenzetu wanawezaje.