do not take it personal NumbisaNdo maana ya kuwepo section ya trending,na new post unachangia tu bila kwenda jukwaa husika.
Tusipangiane wala kuwekeana mipaka ya kucomment inashangaza sana kulalamikia vitu visivyo na malipo
Wazo zuri.Ningeomba mkuu Mello afikirie kuwa na search engine kama ilivyo google. Jf search engine itasaidia sana kutafuta kitu umekisahau au una uhitaji nacho.
Mbona wenzetu wanazo za kwao na zinawasaidia hasa kwenye lugha zao..tuwe na search engine kwa ajili ya kutafuta content zinazojiri ndani ya nchi. Yandex, mail.ru ni mifano tu.