Wale tunaofanya biashara tukutane hapa.. tujitangaze na tuungishane tusiwe kaa

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

najua humu kuna watu wengi wanaofanya biashara...

tukianza na mimi nina biashara ndogo ndogo tatu tofauti... kwa yeyote akisikia ishu asisite kunitafuta...

1. nina workshop ya tshirt printing
2.nina photo studio ya kisasa na tunashoot video za maharusi
3. nina mobile kibanda umiza... sehemu ya kuangalia mpira inayotembea... ambapo tunafungaga sana maeneo yenye watu wengi tukialikwa siku za mechi.. kama vyuoni, kwenye ma camp, mitaani etc.....
 
picha za kawaida sana halafu inaonyesha sio mtaalamu wa adobe photo shope kama mimi na pia kuhusu ku prini jifunze maneno ya kuvutiaa macho na staili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…