Emma M Bai
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 223
- 126
Mi nauza bra. na vyupi vya kike changamoto ni nyingi sana mfano mteja anakwenda kujaribu bidhaa afu anakuita ndani uangalie kama imemkaa vizuri uku anatingisha kaskazini (juu) na kusini (chini) mi ubongo unakuwa kama unahama hivi... ukiwa baharia mzembe unaweza maliza bidhaa afu pesa ya mauzo huiyoni, lakini faida ni kubwa mbali na malupu lupu mengine.Biashara ya kutembeza mtaani hasa bidhaa za wanawake Ina faida kubwa sana
Je changamoto zipi unakutana nazo
Me binafsi mwanamke anakuambia nivalishe kiatu then anakuuliza wewe nimependeza
Dada zangu huwa hamuoni
Kero kubwa kwako ni ipi
Mi nauza bra. na vyupi vya kike changamoto ni nyingi sana mfano mteja anakwenda kujaribu bidhaa afu anakuita ndani uangalie kama imemkaa vizuri uku anatingisha kaskazini (juu) na kusini (chini) mi ubongo unakuwa kama unahama hivi... ukiwa baharia mzembe unaweza maliza bidhaa afu pesa ya mauzo huiyoni, lakini faida ni kubwa mbali na malupu lupu mengine.