Wale tunaolea mbinu gani ya kumfanya mtoto aache mwenyewe kunyonya?

[HASHTAG]#EvelyneSalt[/HASHTAG] Hapo Kwenye Chumvi Nimesisimka Evelyne Chumvi
 
Mmmh kumbe mateso hivyo, wangu ngoja anyonye mpaka choka mwenyewe...
 
Tena huwa wananyonya huku wanarusha rusha tu miguu huku na huko kuashiria mzuka wanaopataga sio wa dunia hii na ndo ujue mungu sio wa mchezo mchezo....
Nasoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] huku nanyonyesha AF wewe
 
Kunyonyesha rahaa usimuachishe akinyonya najiskia rahaaa kunamda akitulia linawasha linataka kinyonywa weeee
 
Nimechekaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tena huwa wananyonya huku wanarusha rusha tu miguu huku na huko kuashiria mzuka wanaopataga sio wa dunia hii na ndo ujue mungu sio wa mchezo mchezo....
Mkuu nimeangalia DOGO hapa anavyonyonya akirusha miguu na kushikilia titi jingine imebidi tu nichekeeee
 
miaka 1.5 bado aikifikisha miaka 2 ndio ideal. unless umeshamtafutia mdogo wake.

Kubwa ni kumjenga kisaikolojia yeye ni mkubwa hapasi kunyonya, pili acha kulala nae usiku mhamishe chumba siku mbili za mwanzo atalia lakini kubali makelele yake kwa muda.

Jiulize ananyonya muda gani, je ananyonya kwa sababu ya njaa ama ni ule utamu wa maziwa? Kama ni njaa hakikisha muda ule wa nyonyo anapata kitu cha kula/maziwa fresh vuguvugu. vinginevyo mpeleke ukweni kwa siku chache umwache huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…