GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 452
Natuma parts zote za ford Kama utahitaji nitumie VIN number ya hiyo ford yako harafu nikuambie bei yake nipo SA natuma kwa ndege siku chache tuu unapokea...Nimenunua mwaka jana niliagiza.
Tatizo lililopo ni kuwa nikiwa katika mlima gari inapush kwenda spidi zaidi wakati hiyo hali haikuwepo. Niliipeleka kwa mafundi wa kompyuta wakanipa quote ya milioni 7 ili waagizie sensa na kuifunga.
Tatizo lilianza baada ya kupata ajali, bima walirekebisha nikaendelea kulitumia nimekuja kuanza kupata tatizo miezi miwili baada ya kutoa gereji wa bima ya Wachina Mikocheni.
Niliwarudishia wachina wakagoma wakasema wao kazi yao ishaisha nikubaliane nao upya.
Kuna mtu ambaye ashakutana na tatizo hili kama kuna fundi mzuri wa ford anayemjua ili niweze kucompare hizo cost za hawa milioni 7 ndefu aisee.
Tatzo lake kaliwasilisha humu kwann usijaribu kumsaidia humu ili na wengine tunufaike?Nicheki mkuu. Tuwasiliane PM nitakusaidia.
Ata-google lkn hatoweza kutengeneza coz issue hio inahitaji mtaalamu.Pole kwa matatizo. Google hilo tatizo lako unaweza ukapata msaada nafuu online
Ila sensa kwa milioni 7! Parefu sana na ndo hapo team Toyota wanapata pa kuzisimanga brand nyingine.
Issue kama hio ina sababu nyingi sana mpaka gari niione nifanye vipimo ndio nitajua, kuongea hapa bila kupima ni porojo tu na ndo maana nmemwambia anicheki PM ili tukutane tujue issue ni nn. Ikipona ndo atatoa mrejesho yy.Tatzo lake kaliwasilisha humu kwann usijaribu kumsaidia humu ili na wengine tunufaike?
Nimeku PMNatuma parts zote za ford Kama utahitaji nitumie VIN number ya hiyo ford yako harafu nikuambie bei yake nipo SA natuma kwa ndege siku chache tuu unapokea...
Nimeona Mkuu kesho jumamosi ntaenda VW ikishindikana jumatatu maana makampuni mengi sasa hivi wameanza kutofanya kazi jumamosi...Nimeku PM
Uoga wako tu mkuu kipindi namvuta mjerumani 320i raia waliongea sana kuhusu mafundi na spareparts asaiv inagonga mwaka wa 4 chombo bado inadai matunzo ndio kila kituHi ndo shida ya kumiliki gari za wazungu mafundi shida sana.