Wale tunaongoja kuangalia Euro kupitia ZBC 2 mashaka lukuki

Wale tunaongoja kuangalia Euro kupitia ZBC 2 mashaka lukuki

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Wakuu bado Nina mashaka sana kama hii Euro itanoga maana hiki kituo huwa hakuna picha angavu kama za wenzetu dstv lakini pia kabla ya mechi tunaweza kosa uchambuzi uliotukuka wa mechi badala yake tutakuwa tunawekewa
Busati la mtoro mara msitu wa Jozani na historia ya mtume haya nadhani yanaweza kupunguza Raha ya Euro Azam wangeiweka kule Azam sports hd 1 ingekuwa poa!nawasilisha
 
Back
Top Bottom