Leo majira ya saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Man Utd itakuwa inaikaribisha Newcastle United katika dimba la Old Trafford.
Mimi siipendi Man Utd na kila inapofungwa huwa nafurahi sana, na sasa hawajapata ushindi katika mechi 4, tunaomba leo wafungwe tena ili wikiend iwe nzuri.
Kama na wewe unapenda ukiona Man Utd wakifyekelewa mbali katibu utie neno lolote.