Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Napenda sana chapati ila zilishanishinda kabisa kuziandaa.Napenda Kupika na najivunia kuwa sehemu ya kuwapikia wale nilio nao nyumbani pale niwapo nyumbani.....
Wale ambao pia wana hobby kama yangu basi njoo tuongee chakula gani au menu gani unapenda kupika au kipi kinakushinda
Jamani mbona kuna zile za Azam ambazo zimeshasagwa au kuna zile ambzo za kukoroga kama za kiarabuNapenda sana chapati ila zilishanishinda kabisa kuziandaa.
hahahahah chai cha maji ya kuweka kwenye hotpot auChapati napika ngumu,nishajitoa huko
Najua sn kupika mboga ,zooote. Na chaiii
Chai ina utaalam wake,,,ukinywa chai yangu utaiwaza wiki nzimahahahahah chai cha maji ya kuweka kwenye hotpot au
unawekaga na majani yale yanayonukia au unaenda kuchua masala yale dukaniChai ina utaalam wake,,,ukinywa chai yangu utaiwaza wiki nzima
Chai ina utaalam wake,,,ukinywa chai yangu utaiwaza wiki nzima
Unatumia ingredients zip hzo?Chai ina utaalam wake,,,ukinywa chai yangu utaiwaza wiki nzima
Mie Chai sipiki ya majani,sitii majani kabisaaaWeka vitu hapa ili nasi tujifunze. Ila jamani kuna watu wanatengeneza chai nzuri yaani ni nzuri kupita kiasi halafu na vile viungo unaweza kunywa hata chupa nzima.
hiyo itakuwa chai sasa au ni ile ya kuwadnganya wadada kuwa una gari wakti ukweliMie Chai sipiki ya majani,sitii majani kabisaaa
Hivi chai inapikwa au inachemshwahahahahah chai cha maji ya kuweka kwenye hotpot au
Kuna chai ya kuchemshwa na ya kupikwa au ya kusuuzwa...Hivi chai inapikwa au inachemshwa
Tembea ujionee, kwanza majani kiafya sio mazuri,Jaribu hivi chukua mdalasini iliki,pilipili manga,karafuu theni twanga vyote kwa pamoja Kwenye kinu kidogo.hiyo itakuwa chai sasa au ni ile ya kuwadnganya wadada kuwa una gari wakti ukweli
Kwa uelewa wangu mdogo huu, najua chai ni maji yamechemshwa tu na kuwekwa kiungo/viungo. lakini asante kwa ufafanuzi mkuuKuna chai ya kuchemshwa na ya kupikwa au ya kusuuzwa...
Hahaha ukipika zinatoka kama clips nini?Napenda sana chapati ila zilishanishinda kabisa kuziandaa.
Njoo nikufundishe kupika chapati lainiChapati napika ngumu,nishajitoa huko
Najua sn kupika mboga ,zooote. Na chaiii
Yaani wee acha tu. Zinakuwa kama clips halafu zina mapembe ya kutosha[emoji23]Hahaha ukipika zinatoka kama clips nini?