Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mi mtanzania ila nataka leo starz wachezee vizuri tu. Amunike got off the wrong foot kwa kuigawa timu ya taifa. Hakupewa somo mambo ya simba na yanga yalivyo ktk soka letu. Kuwakacha wachezaji wa simba kumeathiri hata mzuka wa baadhi ya mashabiki kwa timu ya taifa kama mimi, wasukumiwe ndani tu maana hamna namna.Wale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.
Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.
Karibuni...
Mkuu muda bado.. Mechi inaanza saa 11.. Mda huu nipo Kariakoo natafuta jezi ya Cape Verde.Sasa si mngeenda uwanjani mkaongeze nguvu
Wangekuwa hawatumii ndumba ningekuwa fan waoWale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.
Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.
Karibuni...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu usisahau kuja hapa ddc tupige selfie namm nime shawishika kuvaa uzi wa watu wa kisiwa cha urenoMkuu muda bado.. Mechi inaanza saa 11.. Mda huu nipo Kariakoo natafuta jezi ya Cape Verde.
Hahaha.. Nitapita hapo Mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu usisahau kuja hapa ddc tupige selfie namm nime shawishika kuvaa uzi wa watu wa kisiwa cha ureno
Amunike leo atakuwa amulikwe haiwezekani ununue benzi lina full tank afu upaki ukweni ueende na starlet tena ya kuazimaHahaha.. Nitapita hapo Mkuu.
Huwezi kusubiri mpaka siku ya Mnada ndo unamlisha ng,ombe ili anone umuuze bei kubwa.Mi mtanzania ila nataka leo starz wachezee vizuri tu. Amunike got off the wrong foot kwa kuigawa timu ya taifa. Hakupewa somo mambo ya simba na yanga yalivyo ktk soka letu. Kuwakacha wachezaji wa simba kumeathiri hata mzuka wa baadhi ya mashabiki kwa timu ya taifa kama mimi, wasukumiwe ndani tu maana hamna namna.