Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

We mtu ni mshamba sana....unadhani nchi ya babaako hii? Taifa stars na Bavicha vinahusiana vipi...uwe unaacha upuuzi au shoga wewe?.
Ukweli ni kwamba wengi wanaotaka tz tufungwe ni bavicha. Check their previous post. Pessimistic people who only see negative.
 
Unaudhi sana we jamaa/dada....Kina Manji,Zakaria,Manara na Mo walikuwa/ni CCM zaidi yako....nyie ndo mnavunja moyo watu kuipenda nchi yetu.Kila kitu mnataka kionekane uCCM badala ya uTanzania.
Acha jazba, chunguza. Kwani wanaoilaumu serikali kwa kutekwa akina mo etc, ni nani, utakuta ni bavicha.
 
Nimefuatilia mpira mwanzo mwisho ZBC2. Wewe hata usemeje haikusaidii kitu leo. Fuatilia wenzio waliokuwa wanashangilia Cape Verde hapa hapa.
Sasa umefuatilia mpira habari za Bavicha zimetoka wapi? Hukuwa na namna nyingine ya kuwasema hawa waliokuwa Cape Verde.Sasa najua kwanini FIFA wanakataza Mpira usiingiliwe Kwa namna yeyote ile na maamuzi ya nje ya mpira.Isingekuwa hivyo watu kama nyie mngeharibu mpira maana mngeanza kujimilikisha kichama Timu ya Taifa.Fifa waliona mbali
 
Ila kusema kweli huyu Amunike amekuja kwa style ya ajabu kwelu yani..

Tukiachilia ushabiki kando jamaa anazingua sana kuhusu baadhi ya wachezaji.

Yani Ajib, Mkude midfield Maestro namba moja TZ unamweka nje, Kichuya mtoto anateleza kama kambale unamwacha nje.

Mechi anachezesha mabeki wakati 3 na FB wapo. Kama vile tumeenda kuzuia hatuna matumaini ya kushinda kabisa.

Beki yenyewe Mwantika na Morris wachovu mbaya. Wakati angeweza kucheza na Yondani na Banda ambao wana shughuli ya kueleweka.

Hajui kuwa mechi inashindiwa katikati ya uwanja? Ukiweza kukamata kiungo ndio umemaliza game. Angalia tulivyoweweseka juzi eneo la kiungo. Hatukuwa na uwezo wa kucheza second balls kabisa kila mpira iwe tuliokoa sisi au wao ulikua unaishia kwa cape verde mids.

Amempanga Mao na Mudhathir ambae hana uzowefo wowote hata kutuliza mipira ikawa kazi. Kocha atie akili.

Huyu kocha sumu za kiyanga alizolishwa zitamtumbua siku za usoni na wataomtumbua ndio hao hao waliomlisha sumu.

Haijui Tanzania huyo mwache atapata akili siku sio nyingi..

Bora kocha mzawa tu hawa wageni waduanzi
Hivi unafikiri ukocha ni kuita mastaa tu?! Uliza kikosi cha Argetina na matokeo wanayopata!
 
Back
Top Bottom