Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Sasa umefuatilia mpira habari za Bavicha zimetoka wapi? Hukuwa na namna nyingine ya kuwasema hawa waliokuwa Cape Verde.Sasa najua kwanini FIFA wanakataza Mpira usiingiliwe Kwa namna yeyote ile na maamuzi ya nje ya mpira.Isingekuwa hivyo watu kama nyie mngeharibu mpira maana mngeanza kujimilikisha kichama Timu ya Taifa.Fifa waliona mbali
Mibavicha kibao ilikuwa inaombea tupigwe na Cape Verde leo, unajifanya hujui?
 
Hahaha.. Ni kweli Mkuu.. Nifanyaje ili nami niweze kulijua soka kama wewe?? Msaada wako plzzzz.
Weka ushabiki pembeni unapozungumzia soka ili uwe objective, kinyume cha hapo chagua kubaki mshabiki na mhamasishaji, masuala ya ufundi usiyazungunzie kabisa.

Vv
 
Weka ushabiki pembeni unapozungumzia soka ili uwe objective, kinyume cha hapo chagua kubaki mshabiki na mhamasishaji, masuala ya ufundi usiyazungunzie kabisa.

Vv
Sawa Mkuu.. Naamini nikifuata ushauri huu adhimu ulionipatia nami nitakua mwana soka hasa hasa kama ulivyo wewe.
 
Back
Top Bottom