jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Uganda ya Okwi na Juuko inatosha.Mashabiki wenzangu wa Cape Verde..
Je mwajua kua, baada ya ushindi wetu wa leo hapo Taifa Stadium mida ya jioni, tunakata tiketi ya moja kwa moja kwenda kushiriki AFCON, mwakani nchini Kameruni??
Katika kundi letu tutaondoka na Uganda.. Huku Lesotho na hawa tunaowafunga leo wakibaki makwao.
Hahaha.. Ni kweli Mkuu.Uganda ya Okwi na Juuko inatosha.
Sasa kwanini usiwe fan wao kwakuwa wanatumia ndumba labda unaweza kula shavu kwenye kamati ya ufundi [emoji23][emoji23][emoji23]Wangekuwa hawatumii ndumba ningekuwa fan wao
[emoji23][emoji23][emoji23]tutaishia kulogana tuu na kupimana nguvuSasa kwanini usiwe fan wao kwakuwa wanatumia ndumba labda unaweza kula shavu kwenye kamati ya ufundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ndo sababu zilizonifanya, mpaka sasa nishatinga uzi wangu wa Cape Verde.. Navuta mda hapa nielekee Taifa Stadium.Ila kusema kweli huyu Amunike amekuja kwa style ya ajabu kwelu yani..
Tukiachilia ushabiki kando jamaa anazingua sana kuhusu baadhi ya wachezaji.
Yani Ajib, Mkude midfield Maestro namba moja TZ unamweka nje, Kichuya mtoto anateleza kama kambale unamwacha nje.
Mechi anachezesha mabeki wakati 3 na FB wapo. Kama vile tumeenda kuzuia hatuna matumaini ya kushinda kabisa.
Beki yenyewe Mwantika na Morris wachovu mbaya. Wakati angeweza kucheza na Yondani na Banda ambao wana shughuli ya kueleweka.
Hajui kuwa mechi inashindiwa katikati ya uwanja? Ukiweza kukamata kiungo ndio umemaliza game. Angalia tulivyoweweseka juzi eneo la kiungo. Hatukuwa na uwezo wa kucheza second balls kabisa kila mpira iwe tuliokoa sisi au wao ulikua unaishia kwa cape verde mids.
Amempanga Mao na Mudhathir ambae hana uzowefo wowote hata kutuliza mipira ikawa kazi. Kocha atie akili.
Huyu kocha sumu za kiyanga alizolishwa zitamtumbua siku za usoni na wataomtumbua ndio hao hao waliomlisha sumu.
Haijui Tanzania huyo mwache atapata akili siku sio nyingi..
Bora kocha mzawa tu hawa wageni waduanzi
Huwezi kusubiri mpaka siku ya Mnada ndo unamlisha ng,ombe ili anone umuuze bei kubwa.
tangu aondoke maximo mm sijawahi kupenda takatakaWale tunaopenda soka tamu na la kushambulia na lenye matokeo kama wanavyocheza Cape Verde, njooni tukutane hapa.
Leo tuwafunge ngapi hao wenyeji wetu Taifa Stars? Mimi nadhani 2-0 itwatosha, tusidhalilishe wakiwa kwao.
Karibuni...
Kushabikia Timu ya taifa kwa sasa ni kujitakia matatizo ya Moyo na kuunguruma kwa tumbo. Timu haina mipango yoyote ta mashindano yoyote yale.
Cape Verde Goooo acha kwanza sisi tufanye siasa hata katika michezo.
Bongo siasa zimezidi karia aliingia na ahadi lukuki bora hata ya malinzi
Hivi mwanaume ulio kamili una andika uzi kama huu? Unakua against na taifa lako? Unasema taifa stars aijui mpira wakati waliepo uwanjani wanajua mpira kuliko wewe ndo maana wapo pale... hii ndo tofauti kati yetu sisi na wazungu.. team ikifanya vibaya wao uwa wana ungana kufanya isimame tena lakini sisi ikifanya vibaya ndo kwanza tuna ungana kuipoteza... uwenda wachezaji na team sio kichwa cha mwendawazimu bali sisi mashabiki ndo kichwa cha mwendawazimu
Kwani lazma wote tushabikie ilo timu lenuHivi mwanaume ulio kamili una andika uzi kama huu? Unakua against na taifa lako? Unasema taifa stars aijui mpira wakati waliepo uwanjani wanajua mpira kuliko wewe ndo maana wapo pale... hii ndo tofauti kati yetu sisi na wazungu.. team ikifanya vibaya wao uwa wana ungana kufanya isimame tena lakini sisi ikifanya vibaya ndo kwanza tuna ungana kuipoteza... uwenda wachezaji na team sio kichwa cha mwendawazimu bali sisi mashabiki ndo kichwa cha mwendawazimu