Kwenye vilabu vyenu mme ungana mara ngapu lakin matokeo bado mabovu? Mtu una shabikia Liverpool na arsenal na una vumilia lakin eti taifa lako una shindwa kuvumilia na kuli supportMara ngapi mashabiki wameungana ila bado timu inaboronga?
Uzalendo upo ila haulazimishwi.
Kwani lazma wote tushabikie ilo timu lenu
Ni maamuzi yako mkuuKwani lazma wote tushabikie ilo timu lenu
HahahahhahahJaribu kumwambia ajue sio kila mtu anapenda kushabikia mpira hovyo.
Siwezi kujidai mzalendo wakati timu bovu kuliko Bush Stars.
Club yangu naipa heshima sana maana inajua inachokifanya sio hii timu isiyokuwa na shukrani kwa mashabiki.Kwenye vilabu vyenu mme ungana mara ngapu lakin matokeo bado mabovu? Mtu una shabikia Liverpool na arsenal na una vumilia lakin eti taifa lako una shindwa kuvumilia na kuli support
Liverpool arsenal na sasa man u... zinakifanya nn? Tofauti na stars?Club yangu naipa heshima sana maana inajua inachokifanya sio hii timu isiyokuwa na shukrani kwa mashabiki.
Hatuwezi kuwa wamoja kwenye timu mbovu namna hii. Kama ni uzalendo endelea nao tu wewe.
AmenMungu saidia Stars tufungwe 3-0 leo maana hakuna kiongozi hata mmoja kuanzia kwenye Vilabu hadi TFF mwenye nia njema ya soka letu.
Liverpool arsenal na sasa man u... zinakifanya nn? Tofauti na stars?
Usifananishe timu/club za hadhi kubwa na hiyo Stars yako.
Visingizio bwanaWangekuwa hawatumii ndumba ningekuwa fan wao
Huyu jamaa anafananisha club. Za ulaya na hii takataka zile clubs.ni major projects za watu na investment za maana na ndio maana zinafanya vizuri
Huwezi kwepa kupigwa 3 mzuka nyingine pale kwa mchinaNyie wa Cape verde feki ndio mnaostahiki kutekwa. Mimi naitakia ushindi Taifa stars. (Msuva 1, Samata 1. Full time 2:0)
Mkuu.. Kwa mara ya kwanza, Cape Verde imetuunganisha mashabiki wa soka nchini. Mashabiki wa Simba tumo, Yanga wamo na hata mashabiki wa timu ya Alex Kitenge, Stand United wamo.. lengo letu kuu ni 1 tu.. Kuunga juhudi wanazozifanya timu ya Cape Verde.Hao wacheza wa Mbumbumbu FC si wapo kila siku na hamana matokeo.
kwa hesabu za kwenye karatasi tu mnaziweza ,zile za mala tukimfunga huyu hapa tukaenda kwao tukatoa sale,harafu uganda akimfunga lesotho,nasi tukamfunga uganda cameroon ilee!!!mpira ni matokeo uwanjani na sio hesabu za probabity tu kila siku!!!Ikumbukwe tunafuzu huku tukiwa na mechi 2 mkononi.. Dhidi ya Lesotho ambayo lazima tuwafunge.. Na 'wenzetu' Uganda ambao hawa tutadroo nao.